Learn the language first kabla hujakurupuka kupost " .... MARRIADE Ndio nini...?
njiwa typing errors ziko nyingi tu, ungemwambia tu kwa upole
Kipindi hicho Obama alikua anavuta Bangi sana na alishawahi kukiri!![]()
Hii itakuwa ni Kisumu.
Kipindi hicho Obama alikua anavuta Bangi sana na alishawahi kukiri!