S. S. Phares
JF-Expert Member
- Nov 27, 2006
- 2,138
- 84
Hii ni historia in the making...hatimaye Communist believer..Rais wa Cuba ameamua kumwaga manyanga na kuachia urais pamoja na ukamanda wa Jeshi...Je nini future ya Cuba na ushirikiano wake kwa nchi nyingine; vikwazo vya USA vitaondolewa au la?