Ni kweli usemacho Abednego but je wabunge wa Tanzania wote wanakubalika kwa matendo na maneno yao? Nijuavyo Mama Mbene amerudi nchini siku za karibuni (kama sikosei ) alikuwa Swaziland au Botswana.
Hapa sitetei kuwa yeye ni msafi sana (since simjui kihivyo) but ninajaribu kusema kuwa tusimpime kwa kipimo ambacho kikitumika kwa wabunge waliopo kitatoa majibu sawa kwa wote!! Unless uvilete hivyo vimbwanga tuanzekuvichambua ili tuone ni kwa kiwango gani vimevizidi vile vya wabunge wenzie mjengoni.
kauli hii n chafu sana, haifai. waheshimini wazazi wetu...................
Mmeona hiyo anuani? Jamani warudishieni wenyewe nchi yao. Zanzibar is a country in East Africa, not a part of Tanzania. Kwani nyie mlishawahi kuandika, kwa mfano, "Dar-es- Salaam, East Africa"?
Zanzibar - ni nchi iliyoungana na Tanganyika
Dar es salaam - ni mkoa katika Tanzania, unapatikana katika ile iliyokuwa tanganyika kabla ya muungano.
Kwa maana hiyo hapa mzazi ni mama yake na injinia tu? vipi kuhusu kikwete yeye si mzazi?
Kuna tofauti gani kati ya post yangu na ya kwako?
DU!! hujaiona? ulitaka kutufanya tuamini kuwa hadhi ya dar na zanzibar ni sawa, mimi nimeonesha utofauti uliopo ki hadhi, dar ni mkoa na zanzibar ni nchi iliyoungana na nchi nyingine tu. Kwa muktadha huu Dar ni sawa tu mkoa wa mjini magharibi huko visiwani.
Aliyekuambia mama yangu ni kiongozi wa kitaifa na aliwahi kufanyiwa vipimo vya akili ni nani? Mama yangu amefanya maamuzi yanayoathiri nchi? Mimi sijamzungumzia Kikwete katika nafasi yake kama mzazi bali kama kiongozi mkuu wa nchi.
Kama Rais Kikwete ni baba yako inabidi uweke hilo pembeni, pole sana, lakini ni rais wetu, tulimchagua sisi, sisi ndio waajiri wake hivyo tuna haki kumfuatilia kama haturidhishwi na utendaji wake.
If you can't stand the heat, get out of the kitchen
Kama bado hajafanyiwa fanya hima mpeleke akafanyiwe, kwangu mimi mzazi ni mzazi tu hata mama yako naye ni mama yangu kama alivyo baba yake na ridhiwani.
Mmeona hiyo anuani? Jamani warudishieni wenyewe nchi yao. Zanzibar is a country in East Africa, not a part of Tanzania. Kwani nyie mlishawahi kuandika, kwa mfano, "Dar-es- Salaam, East Africa"?
We burn unamatatizo gani? Mimi nimeandika "Zanzibar is a country in East Africa" pia "...kuandika Dar-es-Salaam, East Africa" kwa mantiki hiyo hiyo ya kuonesha tofauti. Ni wapi nimerefer Zanzibar kama mkoa?
Duu si bora wangefanya proration i.e. kama pensheni ya mbunge aliyekaa 5 years ni Tzs 80m then aliyekaa miezi 5 apate 5/60 x 80m = 6.67m
Ina maana wabongo hatujui hesabu au ni makusudi tu kubebana kwa sababu maalum?
So, You want to tell us we have another fisadi in the making? Anatoka mmoja, wanaingia kumi. Tutafika tu.Kumbe bado hamumjui Janet Zebedayo Mbene sawa sawa,Huyu mama akiwa NBC alipora benki na kukimbilia Nairobi Kenya,RB ya kutafutwa kwake ipo police central Dar Es Salaam Tangu hapo amekuwa mtu wa kuranda randa tu hadi alipohitimisha ajira yake pale Oxfam akaanza kujihusisha na siasa za CCM,Siyo wa kihivyo mnavyomjua ana vibwanga zaidi ambavyo asingesitahili kabisa kuingia mjengoni.