Jumba lipo Temeke, Mbagara maji matitu lina sifa zifuatazo
- km 2 toka barabarani na km 22 toka posta mpya kumbuka ujenzi wa barabara ya kisasa unaendelea
- umeme maji vipo
- chini tiles juu qypsum
- imeezekwa kigae
- ina leseni ya makazi mchakato wa kupata hati unaendelea vizuri baada ya siku 60 hati inakamilika
- vyumba 4 vya kulala kimoja master
- ina geti kubwa la kuingilia na tena geti jingine kwa ajiri ya kulaza gari ndani ya nyumba
- jiko, store. public toilet. slide window
- bei 90m , tuwasiliane 0657 145555 & 0772 006688 info@havilla.net ,thomasnelson564@yahoo.com