Jumba linauzwa bei powa

Jumba linauzwa bei powa

Wasikubabaishe bei ndogo sana kwa maeneo hayo
kweli ndugu yangu na ktk shughuri hizi kuna wana JF ambao wanapita kimya na mara nyingi ndio wananunua utashaangaa anasema nimeona nyumba twende ukanionesha then anamaliza , sasa walio wengi kazi yao ni kuponda tu eeeh mbagara ooh bei na hawasemi wana bei gani hata wakisema ukiwaambia leteni huwaoni tena. wabongo bwana tupunguze kuongea ongea na kama k2 hukijui kaa kimya waachia wanaojua
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom