Jumba la Tajiri Bakhresa lililopo Fumba Town

Baadhi ya kauli ya ambao hatujapata pesa ..
1.pesa inanunua nyumba ila pesa hainunui usingizi
2.Hata uwe na mali kiasi gani hutazikwa nayo
3.Pesa inanunua chakula ila hainunui hamu ya kula
HAYA TUENDELEZE ZINGINE KWA COMMENT
Dah,umekata tamaa mapema sana ndugu. Tuzitafite hizi pesa.
1. Ni bora kukosa usingizi ukiwa na pesa kuliko kusinzia katika umaskini
2. Mtu anayezikwa hajitambui, ni sawa hata kama hutozikwa na mali, lakini ulikuwa nazo enzi za uhai wako. Hata kizazi chako utakiacha vizuri.
3. Ni bora kukosa hamu ya kula ukiwa na uhakika wa kula kuliko kutamani kula na huna chakula.
#TUTAFUTE PESA.
 
mtu flani alisema hivi!

Kadiri tunavyozeeka na kuwa na hekima zaidi, tunatambua polepole kwamba kuvaa saa ya $300 au $30 zote mbili hutoa wakati mmoja.Tuwe na pochi ya $300 au mkoba au $30, kiasi ndani ni sawa.Tunaendesha gari la $150,000 au gari la $30,000, njia na umbali ni sawa, na tunafika mahali pale pale. Iwe nyumba tunayoishi ni futi za mraba 300 au 3000, upweke ni uleule. Kwa jinsi hiyo utatambua kwamba furaha yako ya kweli ya ndani haitokani na vitu vya kimwili vya ulimwengu huu,bali na Mungu. Na Ardhi tunaokanyaga leo ndio paa letu la kesho.
 
Dah,umekata tamaa mapema sana ndugu. Tuzitafite hizi pesa.
1. Ni bora kukosa usingizi ukiwa na pesa kuliko kusinzia katika umaskini
2. Mtu anayezikwa hajitambui, ni sawa hata kama hutozikwa na mali, lakini ulikuwa nazo enzi za uhai wako. Hata kizazi chako utakiacha vizuri.
3. Ni bora kukosa hamu ya kula ukiwa na uhakika wa kula kuliko kutamani kula na huna chakula.
#TUTAFUTE PESA.
Chief umeielewa tofauti hyo comment yangu
 
Back
Top Bottom