taylor9119
JF-Expert Member
- Nov 4, 2012
- 302
- 489
duh hizi lift kidogo ziniumbue pale mayfair, sirudii kuzipanda aisee. bora zile za kawaida ila sio hizi za ngazi

wakati wa kutoka ndo balaaNI KUKANYAGA TU, UNASUBIRIA KUFIKISHWA KILELENI.