Maria Roza
JF-Expert Member
- Apr 1, 2009
- 6,802
- 1,606
Sante bi mzuri
na wewe pia mpenzi..
Asante Maria nawe pia
Hivi hapa ni Jukwaa gani?
Leo Maria umenipata!
Ngoja nirudi kule.
Amina. Kwaresma itusaidie kuwajibika zaidi.
Maria Roza,
Nadhani lile jukwaa utalipa "break" angalau kwa siku 40 sijazo!
Kwa kuwa sisi tu mavumbi na mavumbini tutarudi
MR twende zetu St. Joseph kwa Fr. Mansuetus (sijui bado yupo pale yule) tukapake majivu.:wink2: