Umenikumbusha sister wangu alitoka jasho mpaka la nyayo, akiangalia mume anamtaka issue ni kupima aliharusha usiku kucha... ...Pole kwanza lakini wacha kukwambie kweli kupima sio jambo rahisi ,mimi nipime jana na leo unambie tupime tena basi tumbo
lakuharisha litazuka hata lilipo tokea silijui hiyo ni kawaida lakini ukisha maliza kupima sikufichi utafurahia maisha japo huna hela mfukoni sababu afya ndio mpango mzima na utapenda umwambie mwenzio aende.. sikuizi mwenzio nna vile vipimo najipima mwenyewe manake uko kwenye majibu hayo maneno yao ndio full Bp............
Wakuu salama.
Wandugu jumatano,tarehe 05.11.2014 natakiwa niende angaza kupima ukimwi,hapa nilipo confidence ni zero inaelekea negative.
Kwa kawaida mimi huwa najiamini kupita kawaida kwa kila jambo nalofanya lakini hili la ukimwi confidence imedrop significantl.
Kiukweli sijawahi kupima ukimwi toka nimezaliwa,kuna binti kaniambia hawezi kukubali kutoka nami bila kupima,alinipa interval ya miez 3 nikamshawishi hadi akakubali tufanye angalau test 1.
Sitaki kumkosa huyu binti na naogopa kupima,ebu nipeni makonfidensi wakuu
Nenda kapime kwanza ukishajijua uko fiti, unaenda nae ila kama umekanyaga miwaya unamzingua kwa kupiga kimya.
The best way to stay negative is not to test at all
Mkuu ni vema wewe na huyo binti muende wote kupima Angaza. Mtapewa majibu na ushauri kwa pamoja.
Kwa wanaume wenzangu, kucheza mechi bila viatu ni ujinga wa hali ya juu. Tuwe makini sana na uraka (pombe) kwa sababu maamuzi yote ya maana yana sepa geji ikiwa juu.
Pole kwanza lakini wacha kukwambie kweli kupima sio jambo rahisi ,mimi nipime jana na leo unambie tupime tena basi tumbo
lakuharisha litazuka hata lilipo tokea silijui hiyo ni kawaida lakini ukisha maliza kupima sikufichi utafurahia maisha japo huna hela mfukoni sababu afya ndio mpango mzima na utapenda umwambie mwenzio aende.. sikuizi mwenzio nna vile vipimo najipima mwenyewe manake uko kwenye majibu hayo maneno yao ndio full Bp............
Yani mimi nikiwaza kuhusu jumatano kupima gafla hata kama nimeshiba nahisi njaa ya hatari kama sijala siku 3,jasho hadi sehem za siri.
Akaaaa, Greda likinigeuzia kibao likinibeba mie jee....aende mwenyewe...
Hhhhhhaaaa nawe waogopaaa
Me hata siogopi mwaya....ila kwa sasa sijajiandaa ...ok...(in Sitti Mtevu's voice)