Kichwa Ndio Mtu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 3,079
- 1,719
Wakuu salama.
Wandugu jumatano,tarehe 05.11.2014 natakiwa niende angaza kupima UKIMWI hapa nilipo confidence ni zero inaelekea negative.
Kwa kawaida mimi huwa najiamini kupita kawaida kwa kila jambo nalofanya lakini hili la UKIMWI, confidence imedrop significantly.
Kiukweli sijawahi kupima UKIMWI toka nimezaliwa, kuna binti kaniambia hawezi kukubali kutoka nami bila kupima, alinipa interval ya miez 3 nikamshawishi hadi akakubali tufanye angalau test 1.
Sitaki kumkosa huyu binti na naogopa kupima, ebu nipeni makonfidensi wakuu