Jumapili Prof. Assad alikuwa akitafutwa anasema yupo nje ya Nchi

Amestaafu kwa mujibu wa sheria mkuu
Bunge lilimtenga.
Speaker akamtenga
Raisi akakaa mbali nae.
Ni wazi siku zake kama CAG zilikuwa zimekwisha.
Bunge walikuwa wanatafuta any loophole yakumuondoa lazini,hadi likamwekea Mdhibiti wa kuchunguza ofisi ya CAG,ni wazi walikuwa wanamtafuta kwa udi na uvumba.
 
Hao Ndio wapinzani ati wanaota siku moja waongoze Nchi

Wataendelea kulalamika hadi wachoke Kwasababu wamejaa ujinga
Mnapoingiza mambo ya udini hapo ndio mnapovuruga mjadala. Assad anatetewa na wananchi wote irrespective ya dini zao ; sasa mambo ya kuonewa waislam yametokea wapi? Nyie ndio mliofirisika kiakili mnakimbilia kutaka huruma kwenye Imani zenu!!
 
Tumpe Nafasi Aliyemaliza Muda Wake Akapumzike
Aliyepewa Nafasi Kwa Maana Ya Mpya Tumtakie Kila Lililo Jema Kwenye Utekelezaji Wa Majukumu Yake


Sisi Wote Ni Wa Dhambi Ndiyo Maana Nimeshauri Wanaokiri Na Kurudisha Pesa Waachiwe Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Sijawahi kumuunga mkono Membe. Ila awamu hii ya tano inakuwaje kiongozi wetu wa nchi anakuwa na chuki ya wazi dhidi ya wapinzani na sisi waislamu? Angalia Muislamu mwenzatu tena muadilifu anatolewa kazini kwa ajili ya uislamu wake, kisha anapewa mkristo tena mzembe kazini? Kwa ajili ya uislamu wake alidhalilishwa huko bungeni mpaka kuvuliwa viatu hadharani, na aliyemfanyia hivyo ni mkristo. Kisha sasa amefukuzwa kazi tena kwa dharau kubwa. Kibaya zaidi aliyepewa anafahamika kabisa ni mzembe ila ukristo wako umembeba. Nakuuliza, wapinzani na sisi waislamu tumemkosea nini rais huyu?
Kuna mtu amedukuwa akaunti ya Tindo, sio yule wa kila siku.
 
Kawe Alumni,

Hizi nazo ni pumba zinastahili kwenda kwenye zizi la nguruwe. Hivi unapata wapi kumtetea Magufuri anaye vunja katiba kwa ajili ya kujitengenezea mazingira ya kuiba?

Mimi ni CCM kindakindaki lakini haya anayoyafanya Magufuri yatamgharimu, muda si mrefu.

Tunaacha watu waadilifu watoke kwa sababu ya kutetea UDIKTETA tu.
 
Nikimuona huyo bwana ni kama alitaka kuwafunza watu umuhimu wa katiba hivyo
Binafsi nadhani watu kama yeye wanao umuhimu mkubwa kwa taifa letu
 
Unaongea kama hujaelimika, kama unadhani kuna wanasiasa nyuma yake wataje humu ni sehemu huru.
Otherwise ongea chumbani na mchepuko wako haya unayoyafikiri na sii kuleta humu
 
Back
Top Bottom