Jumapili njema!!!

Jumapili njema!!!

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,657
Reaction score
37,821
Hii ni kwa wale waliofanikiwa kuiona na mungu awajalie na kuwazaidishia na hii ndio raha ya jf
baraka unazipata hapa hapa duniani kila la kheri

soma mwanzo 1:23....27
 
Thanks man. Mungu awe pamoja nanyi nyote.

Najua kuna vijana kadhaa wamegradua juzi na jana, so wikiendi zao zilikuwa ni full bata. Pamoja sana.

Kuna wale ambao kazi zetu hazna mapumziko. Nanyi pia tupo pamoja.

Jumapili njema wadau.
 
Na wewe pia mkuu hapa najiandaa kwenda kuslide wet n weld...karibuni
 
Back
Top Bottom