Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,088
- 6,267
Wakuu, kwema?
Kwenye hii mitaa ya utafutaji, kuna mambo mawili huwa hayakosekani Mchongo uliomnyanyua mtu kimaisha na Mchongo uliomfanya mtu afe na tai shingoni.
Unakuta mtu alianza na Milioni 1 tu mwingine ikamzalia Milioni 10, lakini mwingine hiyo hiyo Milioni 1 ikatumbukia shimoni na ikawa mwanzo wa msongo wa mawazo.
Nataka tuwekane wazi hapa bila kuficha kitu:
1. Kwa wale waliofanikiwa: Ni biashara, ujuzi, au mchongo gani halisi ulikufanya uanze kuona matunda ya utafutaji wako?
2. Kwa wale waliokwama: Ni wazo gani lilikaa vizuri sana kichwani, lakini ulipoweka hela tu mambo yakakata na ukapoteza mtaji?
Shusha uzoefu wako halisi hapa chini. Unachokiona kidogo kwako kinaweza kuwa mwongozo au taadhari kubwa sana kwa mwenzako anayejitafuta leo.