Pdidy JF-Expert Member Joined Nov 22, 2007 Posts 61,023 Reaction score 36,879 Nov 27, 2011 #1 Hii ni kwa wale waliofanikiwa kuiona na mungu awajalie na kuwazaidishia na hii ndio raha ya jf baraka unazipata hapa hapa duniani kila la kheri soma mwanzo 1:23....27
Hii ni kwa wale waliofanikiwa kuiona na mungu awajalie na kuwazaidishia na hii ndio raha ya jf baraka unazipata hapa hapa duniani kila la kheri soma mwanzo 1:23....27
Mzee JF-Expert Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,620 Reaction score 5,863 Nov 27, 2011 #2 Thanks man. Mungu awe pamoja nanyi nyote. Najua kuna vijana kadhaa wamegradua juzi na jana, so wikiendi zao zilikuwa ni full bata. Pamoja sana. Kuna wale ambao kazi zetu hazna mapumziko. Nanyi pia tupo pamoja. Jumapili njema wadau.
Thanks man. Mungu awe pamoja nanyi nyote. Najua kuna vijana kadhaa wamegradua juzi na jana, so wikiendi zao zilikuwa ni full bata. Pamoja sana. Kuna wale ambao kazi zetu hazna mapumziko. Nanyi pia tupo pamoja. Jumapili njema wadau.
jouneGwalu JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 2,687 Reaction score 1,782 Nov 27, 2011 #3 Ahsante mpendwa! Jpili njema pia kwako....
royaltygroup Member Joined Sep 14, 2011 Posts 8 Reaction score 0 Nov 27, 2011 #4 jouneGwalu said: Ahsante mpendwa! Jpili njema pia kwako.... Click to expand... tunashukuru mtumishi,siku njema ya bwana wetu yasu kristo
jouneGwalu said: Ahsante mpendwa! Jpili njema pia kwako.... Click to expand... tunashukuru mtumishi,siku njema ya bwana wetu yasu kristo
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,409 Nov 27, 2011 #5 Amina na wewe pia ngoja twende kanisani baadae
mysteryman JF-Expert Member Joined Aug 4, 2011 Posts 1,080 Reaction score 393 Nov 27, 2011 #6 Na wewe pia mkuu hapa najiandaa kwenda kuslide wet n weld...karibuni
Kabakabana JF-Expert Member Joined Aug 5, 2011 Posts 5,550 Reaction score 1,166 Nov 27, 2011 #7 Na nyie pia.
Masikini_Jeuri JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 6,827 Reaction score 1,310 Nov 27, 2011 #8 Amen ubarikiwe sana cousin!