Jumapili njema JF photo members

Jumapili njema JF photo members

Ni kitu gani hicho? Mimi naishi huku madongo kuliwa na mchwa sielewi hivyo vitu!

Unaweza kutengeneza mwenyewe nyumbani : Chukua vijiko 2 vya sukari na nusu kijiko kahawa weka ktk kikombe cha chai changanya na maji nusu kijiko cha chai koroga hadi sukari iyeyuke mchanganyiko wako utakuwa mzito saana weka maji ya kuchemsha koroga kidogo weka maziwa kama unapenda weka maziwa tayari kwa kunywa. kama ni ya unga koroga pembeni ndio changanye
 
Asante sana ndugu kwa maelezo hayo. Bila shaka hicho ni kinywaji cha kuondoa baridi.Kama ni hivyo kitanifaa sana huku maana baridi ni kali kuliko ile ya kwenye friza.
 
Ni Cappuccino-kahawa imechanganywa na maziwa yenyd povu.
Asante, naiman64 keshanieleza. Kahawa na maziwa ni yetu, kwa nini tunakwenda italiano kutafuta jina la mali zetu?
 
Last edited by a moderator:

Labda kwakuwa inaita kapusino/ kapusina!?
 
Last edited by a moderator:
Unaweza kutengeneza mwenyewe nyumbani : Chukua vijiko 2 vya sukari na nusu kijiko kahawa weka ktk kikombe cha chai changanya na maji nusu kijiko cha chai koroga hadi sukari iyeyuke mchanganyiko wako utakuwa mzito saana weka maji ya kuchemsha koroga kidogo weka maziwa kama unapenda weka maziwa tayari kwa kunywa. kama ni ya unga koroga pembeni ndio changanye

kumbe naweza home
 
Back
Top Bottom