Jumanne Muliro kumrithi IGP Sirro?

Jumanne Muliro kumrithi IGP Sirro?

Ni wakati wa ku appoint IGP mwenye civil service experience. Jeshi la Polisi linatakiwa kuendelea na mchakato wa kuliintegrate na jamii aliouanzisha Saidi Mwema.

Experience ya Saidi Mwema Interpol ilimsaidia sana kufanya kazi kwa kutumia weledi badaya ya ubabe na usiginaji wa haki za raia kwa visingizio vya kipumbavu vya matishio ya usalama kama ambavyo tumeshuhudia kwa siro.

Askari wengi sana ni majambazi, hivyo promotion zao zinatakiwa kuangaliwa kwa umakini mpaka sana.
 
Uuuwiii ,,,,,Jamani tutakuwa tunamuundia majungu IGP Sirro

IGP aliepita kwa heshima Said Mwema aliongezewa muda na JK kama miaka minne mbele baada ya umri wa kisheria wa IGP Mwema kustaafu kufika

Na pia hata Mambosasa ni Afisa kamishna wa Polisi mchapakazi sana , ni ngumu kumpata mtu kama Mambosasa (uchapakazi ni tabia adimu sana kwa sisi binadamu wenye ngozi nyeusi) kwa hiyo naomba tusimuundie majungu nae

IGP Sirro kama akiongezewa muda kama alivyoongezewa Said Mwema basi atastaafu mwaka 2027

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Mambosasa awe IGP wa nchi gani? Mkoa tu unamshinda itakuwa nchi? Unamjua yule Mfipa unamsikia? Kitu pekee anachoweza kukifanya Mambosasa na kikafanikiwa 100% ni majungu. Anajua sana kupiga majungu yule baba.
 
Hao wote mlio wataja hapo vyeo vyao ni vidogo sana vya kuteuliwa kuwa IGP maana kuna vyeo viwili juu yao DCP na CP bila shaka kuna watu wenye vyeo hivyo tajwa hapo juu wanasifa za kuwa IGP. Ila yote kwa yote hongereni kwa kuwapigia debe washua wenu waje kuwa ma IGP.
Swala la vyeo si anapewa tu.
Hamkumbuki ya Mwamnyange alipandishwa cheo. Akawa mkuu wa majeshi.
 
Uuuwiii ,,,,,Jamani tutakuwa tunamuundia majungu IGP Sirro

IGP aliepita kwa heshima Said Mwema aliongezewa muda na JK kama miaka minne mbele baada ya umri wa kisheria wa IGP Mwema kustaafu kufika

Na pia hata Mambosasa ni Afisa kamishna wa Polisi mchapakazi sana , ni ngumu kumpata mtu kama Mambosasa (uchapakazi ni tabia adimu sana kwa sisi binadamu wenye ngozi nyeusi) kwa hiyo naomba tusimuundie majungu nae

IGP Sirro kama akiongezewa muda kama alivyoongezewa Said Mwema basi atastaafu mwaka 2027

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Mambosasa ambaye aliambiwa na magufuli kwamba watz sio wajinga au kuna mambosasa mwingine ?
 
Uuuwiii ,,,,,Jamani tutakuwa tunamuundia majungu IGP Sirro

IGP aliepita kwa heshima Said Mwema aliongezewa muda na JK kama miaka minne mbele baada ya umri wa kisheria wa IGP Mwema kustaafu kufika

Na pia hata Mambosasa ni Afisa kamishna wa Polisi mchapakazi sana , ni ngumu kumpata mtu kama Mambosasa (uchapakazi ni tabia adimu sana kwa sisi binadamu wenye ngozi nyeusi) kwa hiyo naomba tusimuundie majungu nae

IGP Sirro kama akiongezewa muda kama alivyoongezewa Said Mwema basi atastaafu mwaka 2027

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Watapata tabu sana ...
Naomba niishie hapo
 
Mzee Siro amekabia kustaafu, kwa nidhamu na maendeleo ya jeshi la Polisi sisi tunaofuatilia utendaji wa Ma RPC tunaweza kusema Mlilo Jumanne atachukua nafasi ya Siro.

Kwa namna alivyotuliza Mwanza, kwa alivyofanya kazi DSM na kwa anavyojiamini kwenye kujenga hoja natamani kuona yeye au watu wa aina yake wakikabidhiwa Jeshi kuliko kuwakabidhi aki Mroto au Mambo sasa
MAMBOSASA !!!??? Are you serious !!!???
Hivi una akili kweli wewe katika wooote eti MAMBOSASA awe IGP [emoji849][emoji849][emoji849]

[emoji848][emoji848][emoji848]Mh!!!.. au labda sijaelewa unamuongelea yule MAMBOSASA aliekwenda kunywa chai kwa Baba ake MOOO mbele ya waandishi wa habari, baada ya kumuokota mateka pale Gymkhana au unamuongelea MAMBOSASA yupi !!!!!!!????

Si unamaanisha huyu MAMBOSASA Kamanda wa POLISI wa CHAMA CHETU MKOA wa Dar Es Salaam ama !!!!????

Kama ni hivyo si ni bora ateuliwe yule MWARABU FIGHTER aliyekua baunsa wa Mondi awe IGP
 
Walimuua Kamanda Azizi, walikua na hisabu zao kwa kweli
 
Mzee Siro amekabia kustaafu, kwa nidhamu na maendeleo ya jeshi la Polisi sisi tunaofuatilia utendaji wa Ma RPC tunaweza kusema Mlilo Jumanne atachukua nafasi ya Siro.

Kwa namna alivyotuliza Mwanza, kwa alivyofanya kazi DSM na kwa anavyojiamini kwenye kujenga hoja natamani kuona yeye au watu wa aina yake wakikabidhiwa Jeshi kuliko kuwakabidhi aki Mroto au Mambo sasa
kama wewe ndio unae teua basi sawa
 
Ernest Mangu alikuwa IGP from SACP

hapana hapana

Ernest Mangu alimaliza vyeo vyote kwenye jeshi la polisi, Sirro na Andengenye wamevaa cheo cha DCP pamoja katika batch moja na Mangu pia kama sitasahau
Na zilivuja kabisa taarifa kuwa waliokuwa wanapendekezwa na TISS kuukwaa uIGP walikuwa watatu i.e Mangu ambae alikuwa CP kama kumbukumbu zangu zitakuwa sahihi , Thobias Andengenye aliekuwa na cheo cha DCP na wa tatu alikuwa Diwani Athumani aliekuwa na cheo cha ACP
 
Basi Kumbukumbu zako haziko sahihi
Mangu aliteuliuwa kuwa IGP akiwa SACP, RPC Mwanza
 
Mzee Siro amekabia kustaafu, kwa nidhamu na maendeleo ya jeshi la Polisi sisi tunaofuatilia utendaji wa Ma RPC tunaweza kusema Mlilo Jumanne atachukua nafasi ya Siro.

Kwa namna alivyotuliza Mwanza, kwa alivyofanya kazi DSM na kwa anavyojiamini kwenye kujenga hoja natamani kuona yeye au watu wa aina yake wakikabidhiwa Jeshi kuliko kuwakabidhi aki Mroto au Mambo sasa
Hakuna Rpc asiyefaa kama huyu jamaa funga kopo lako.
 
Uuuwiii ,,,,,Jamani tutakuwa tunamuundia majungu IGP Sirro

IGP aliepita kwa heshima Said Mwema aliongezewa muda na JK kama miaka minne mbele baada ya umri wa kisheria wa IGP Mwema kustaafu kufika

Na pia hata Mambosasa ni Afisa kamishna wa Polisi mchapakazi sana , ni ngumu kumpata mtu kama Mambosasa (uchapakazi ni tabia adimu sana kwa sisi binadamu wenye ngozi nyeusi) kwa hiyo naomba tusimuundie majungu nae

IGP Sirro kama akiongezewa muda kama alivyoongezewa Said Mwema basi atastaafu mwaka 2027

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Huyu mama itabidi ajichunge sana aachane na maoni ya mitandanoni katika kutoa maamuzi ya mustakhabali wa nchi. Nilisoma sehemu kuwa anafuatlia sana mitandano. Hawezi kuwa kiongozi wa kufurahisha mitandano yote, in fact wananchi wengi hawako kwenye mitandao, ndiyo maana uchaguzi wa mtandaoni uliwahi kumpa Lissu 70% na uchaguzi halisi ukampa 15%
 
Muroto Hana elimu Wala weledi wa kua IGP. Lakini Ni Bora Muroto awe IGP kuliko Mambosasa.

Mambosasa level yake Ni kua RPC Usweken huko Katavi.
Muroto anawasubili kwa hamu na bashasa wale wanaotarajia kusafiri kutoka Geita kuja kumnanga spika
 
Back
Top Bottom