rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,062
- 25,705
Haruna Mahundi alikuwa na cheo kidogo alipoteuliwa kuwa mkuu wa polisi hiyo haiwezi kuwa sababuHao wote mlio wataja hapo vyeo vyao ni vidogo sana vya kuteuliwa kuwa IGP maana kuna vyeo viwili juu yao DCP na CP bila shaka kuna watu wenye vyeo hivyo tajwa hapo juu wanasifa za kuwa IGP. Ila yote kwa yote hongereni kwa kuwapigia debe washua wenu waje kuwa ma IGP.