Jumanne Muliro kumrithi IGP Sirro?

Jumanne Muliro kumrithi IGP Sirro?

Hao wote mlio wataja hapo vyeo vyao ni vidogo sana vya kuteuliwa kuwa IGP maana kuna vyeo viwili juu yao DCP na CP bila shaka kuna watu wenye vyeo hivyo tajwa hapo juu wanasifa za kuwa IGP. Ila yote kwa yote hongereni kwa kuwapigia debe washua wenu waje kuwa ma IGP.
Mteuzi ndo mwenye mamlaka hata koplo akiamua umteua wanaweza wakawa na sifa lakini je wamejibrand?
 
Pia Ernest Mangu alikua na Cheo cha chini kidogo
Mabeyo alikua luten general ndipo akapandishwa kuwa general.... Pia hata kama rais anafanya anavyotaka hawezi kumchukua koplo na kumpandisha vyeo na kumfanya kuwa IGP .lazima atachagua wale seniors haijalishi ni cheo gan lakin atacheza kwenye walewale senior officers
 
Mzee Siro amekabia kustaafu, kwa nidhamu na maendeleo ya jeshi la Polisi sisi tunaofuatilia utendaji wa Ma RPC tunaweza kusema Mlilo Jumanne atachukua nafasi ya Siro.

Kwa namna alivyotuliza Mwanza, kwa alivyofanya kazi DSM na kwa anavyojiamini kwenye kujenga hoja natamani kuona yeye au watu wa aina yake wakikabidhiwa Jeshi kuliko kuwakabidhi aki Mroto au Mambo sasa
Wakati wa kifo cha Aquilina Akwilini RPC kinondoni alikuwa Muliro Jumanne.

Hili ni doa ambalo halitakuja kufutika kwenye uongozi wa Sirro, Mambosasa na Muliro.
 
Nadhani huu ni wakati ambao vyombo vingi na taasisi nyingi hazina warithi wa watawala waliopo kwa Sasa. Kumpata Kiongozi imekuwa Ni ramli hasa ukizingatia miaka mitano iliyopita hakukua na utawala wa sheria wa utaalam unaozingatia taalum, ulikuwa utawala wa amri.

Labda tukitaka viongozi tuchuje vijana nakuwapandisha
 
Elimu elimu elimu
Ahmed Msangi: The Deputy Director of Criminal Investigation in Zanzibar. A former Regional Police Commander (RPC) in Mbeya and Mwanza, Police Spokesperson and Deputy Commissioner of Police (DCP).
 
Hao wote mlio wataja hapo vyeo vyao ni vidogo sana vya kuteuliwa kuwa IGP maana kuna vyeo viwili juu yao DCP na CP bila shaka kuna watu wenye vyeo hivyo tajwa hapo juu wanasifa za kuwa IGP. Ila yote kwa yote hongereni kwa kuwapigia debe washua wenu waje kuwa ma IGP.
Hujui unachokisema. Anybody kuanzia ACP anaweza teuliwa kuwa IGP na mifano ipo !!
 
Hao wote mlio wataja hapo vyeo vyao ni vidogo sana vya kuteuliwa kuwa IGP maana kuna vyeo viwili juu yao DCP na CP bila shaka kuna watu wenye vyeo hivyo tajwa hapo juu wanasifa za kuwa IGP. Ila yote kwa yote hongereni kwa kuwapigia debe washua wenu waje kuwa ma IGP.
Mbona Mahita aliteuliwa kuwa IGP akiwa na cheo cha ACP?
 
Back
Top Bottom