Jumamosi hii Zinduna Talk Show Madame B Mjengoni!

Aisee The secretary kitambo mbona sikuoni au ndo magroup ya wasap yamekumeza?
Ila CC ya wakati ule, hakyamama haitokaa itokee tenaaaaa.
Yaani ilikuwa burudani sanaaaa.
Naimiss sana jamani.

Aisee wa nyumbani KOKUTONA hebu do the needful.....I-bust tujikumbushe
Daaah..Those days..nilikuwa kichaa wa CC...CC kipindi hicho inachuana na jukwaa la siasa..

Upo powa lakini...??
 
Aisee...inabidi siku tujikumbushe CC ya wakati ule ya kule Amboni au White Party
Ila sijui kama Mtambuzi au shem Watu8 wako hai kiCC...maana siwaoni.

Hivi unamkumbuka Zion Daughter na mwenzie Blaki Womani?

Madame B nipo mama.Sijui kama MMU ile itarudi.Kila nikipita kusalimia humu nakuta majina mapya kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom