Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,539
- 11,442
Habari wana Chit chat.
Leo nimepewa heshima kubwa na Host wa kipindi hiki Zinduna ili kuendesha kipindi cha leo ambacho kina mgeni machachari na mwenye changamoto humu Chit chat na si mwingine bali ni Madame B
Kipindi cha leo kitakuwa ni LIVE hivyo nawaomba sana mvute subira wakati namuliza Madame mswali na hapo nitakapomaliza ndipo nitawaalika kujakutoa maoni yenu au kumuuliza maswali mgeni wetu Madame B
Je Madame B uko tayari kwa kwa Talk Show?
Swali:
Hebu nipe historia yako ya hapa JF kwa kifupi, yaani ulifahamuje kuhusu JF, ulijiunga lini na ni nini kilikusukuma hadi ukajiunga na JF?

Last edited by a moderator: