Huyu ni kaka yake amri said Sema Sahv juma ngedere kama hayuko Sawa....
Binafsi namjua vizuri sana, Kuna wakati fulani kulikuwa na mbabe mmoja anaitwa stiba mtoto wa kitanga alitaka kuyakanyaga kwa ngedere,
Juma ngedere alimwambia akaombe kibali kbsa ili siku wazipige, ikapangwa siku eneo lilipangwa wazipige amerikan chips Enzi hzo wako manyanya au nyuma ya kituo cha kwenda posta
Stiba hakutokeaaa alikula konaaa
Juma kakomaa sana licha na mambo yake ya kata jamaa ni fundi seremala Sema Maisha Sahv yamebadilika sana ubabe utamfanyia nani
Ova