Mkaa wa Mia a.k.a misifa.Alitetea UDOM hakuna udini,Prof.Kikula akamshushua leo tena serikali!Viongozi matumbo a.k.a vipeperushi vya serikali mnashida kweli,njaa anadhalilisha jamani..........!
Nini Maana ya neno KUKAMIA?huyu amekamia kila Jambo pasipo kufikiria ni aina ya wale wabunge waliokariri mfumo wa chama Kimoja anaishi kwa mazoea amekosa ubunifu Ndio Maana anadandia kila anachokisikia mvumilieni mda umebaki mchache 2015 haludi mjengoni labda itokee miujiza ya ubunge wa kuteuliwa ajiandae kuludi kwa kilaza mwenzake Mzee wa Basitora pale msimbazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.