Juma nature na ndala

Kazitunayo

JF-Expert Member
Mar 30, 2013
3,773
3,160
Leo kwenye xxl nature ametangaza kuanzisha biashara ya ndala ii inakuja baada ya kutimuliwa na EATV baada ya kuja studio akiwa amelewa uku kavaa ndala...my take juma nature aishukur EATV kwa kumtimua hadi akapata Idea ii..wasanii wa bongo badilikeni nyie ni kioo cha jamii
 
Msanii ni kioo cha jamii ndo mana kaja na ndala ili kuakisi msemo huo!
 
Juma Nature ni miongoni mwa wasanii wajinga wasiokuwa na maono ya mbali. Hopeless kabisa Nature
 
Nature sio hopeless, utamwitaje ivyo? Tujifunze ku hangia na ku defend maelezo yetu. Hutu jamaa ni moja ya wasanii wanaoona mbali sana.
 
Juma Nature ni miongoni mwa wasanii wajinga wasiokuwa na maono ya mbali. Hopeless kabisa Nature

cha ajabu anawakimbisa hao wasanii wako werevu wenye maono ya mbali ya kuvua chupi majukwwani, kubana sauti na kutia kalikiti kwenye nywele na kwapani, Mpira magoli bana Chenga mimbwembwe tu!
 
cha ajabu anawakimbisa hao wasanii wako werevu wenye maono ya mbali ya kuvua chupi majukwwani, kubana sauti na kutia kalikiti kwenye nywele na kwapani, Mpira magoli bana Chenga mimbwembwe tu!

Msiseme sababu mmejua kuongea ukijithamini hata kazi zako utazithamini na watu watakuthamini. I swear Nature will never grow sababu na vitabia vyake visivyobadilika kuendana na mazingira
 
cha ajabu anawakimbisa hao wasanii wako werevu wenye maono ya mbali ya kuvua chupi majukwwani, kubana sauti na kutia kalikiti kwenye nywele na kwapani, Mpira magoli bana Chenga mimbwembwe tu!

Juma aka Kiroboto unaweza kumfananisha na Platinum mkuu?? Ganja ndiyo inayomuharibu na pombe.
 
umewaza kwa masaburi hujajua kuwa unamtukana jamaa mwenye kipaji namjamaa wa ukweli

Wewe kipaji unakipimaje mkuu? Embu nambie katika nyimbo zote alizoimba na muda alokuwa kwenye gemu ana mafanikio yapi yakuongelea angalau
 
Mara zote nmekuwa nikisema kuwa hawa wasanii tunawapoteza sisi washabiki kwa kushindwa kuwaambia ukweli instead we beat around da bush. Juma nature ni msanii mwenye kipaji ambacho mpaka sasa narudia tena mpaka sana hakuna aliekifikia ktk bongo fleva kwa maana ya sauti(vocal),chord,mashairi(idea)style nk kubali usikubali. Zaid Nature anapendwa na sababu ni vle alivyo simple. Nature anakula popote na chochote iwe mihogo au kwa mamantilie.Nature hampiti mtu bila kumsalimia iwe anakujua au hakujui kfupi ni mtu wa kujichanganya kama Lema. Tatizo la Nature ni huo usimple kuzidi mpaka kuishusha thamani ya kazi yake tena hasa kwenye idara ya ulevi.Wa kumsaidia Nature ni sisi mashabiki kwa kumueleza hata kwa kuchomekea story tu coz jamaa ana karama ya kuongea na kila mtu lakini sio media zinazopingana.Clouz hao alikoenda kuzungumzia iyo idea leo watamtenga na ippmedia na kujidai kule ni kubaya ila baada ya mwezi akistuka juu ya mbinu yoyote ile ya kumnyonya watamchafua kuliko mifereji ya manzese kwa mfuga mbwa.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Wewe kipaji unakipimaje mkuu? Embu nambie katika nyimbo zote alizoimba na muda alokuwa kwenye gemu ana mafanikio yapi yakuongelea angalau

Solo thang alisema ''ile dhana ni uhuni walileta hawa Katuni''...
So mwenye akili atanielewa na atamuelewa Solo nini alimaanisha
 
wewe kipaji unakipimaje mkuu? Embu nambie katika nyimbo zote alizoimba na muda alokuwa kwenye gemu ana mafanikio yapi yakuongelea angalau

kwani na wewe kuwa na kipaji ndo kuwa na mafanikio?...... Wangapi wanamzidi diamond kwa uwezo wa kuimba na hawana lolote kulinganisha naye?
 
Nature mzee wa ugali, kweli anapendwa, ila apunguze pombe na usimple kidogoo mwenzake chege yuko scandinavia kwa shoo . Akubali kubadilika kidogo atafikia kiwango cha kimataifa kama chege et al
 
Leo kwenye xxl nature ametangaza kuanzisha biashara ya ndala ii inakuja baada ya kutimuliwa na EATV baada ya kuja studio akiwa amelewa uku kavaa ndala...my take juma nature aishukur EATV kwa kumtimua hadi akapata Idea ii..wasanii wa bongo badilikeni nyie ni kioo cha jamii
aisee huyu ni msanii mjinga sana tena sana.
kwa mtu ambaye hakuangalia interview yake na sam anaweza asielewe kwa nini nature ni mjinga.
Nature ana shindwa kujua ustaarabu na usafi ni muhimu kwa kila binadamu na isitioshe yeye ni kioo cha jamii.

yani mtu ana kwenda kwenye interview tena kwenye tv amelewa hadi anaongea kisicho eleweka mna kila mtu anaona amelewa; anashindwa kujua kuwa anatakiwa aheshimu vyombo vya habari ndvyo vinamsababisha aishi mjini.
Nature ameshindwa kujiheshimu kabisa na tatizo ni bangi; gongo na mirungi.
 
umewaza kwa masaburi hujajua kuwa unamtukana jamaa mwenye kipaji namjamaa wa ukweli

hata kama ana kipaji kujiheshimu na kuheshimu wengine ni muhimu sana huwezi kwenda kwenye interview na ndala tena kwenye television na huku umelewa hadi unashindwa kuongea
Nature ni mjinga sana ana takiwa kubadilika
 
Nature mzee wa ugali, kweli anapendwa, ila apunguze pombe na usimple kidogoo mwenzake chege yuko scandinavia kwa shoo . Akubali kubadilika kidogo atafikia kiwango cha kimataifa kama chege et al

bora umempa ushauri kabisa. kubadilika ni muhimu.
 
hata kama ana kipaji kujiheshimu na kuheshimu wengine ni muhimu sana huwezi kwenda kwenye interview na ndala tena kwenye television na huku umelewa hadi unashindwa kuongea
Nature ni mjinga sana ana takiwa kubadilika

Kuna kitu kinaitwa UTASHI, kipaji kikikosa utashi bado ni tatizo, Utashi ukikosekana ndio matokeo ya kuona binadam anfanya mambo tofauti na matarajio, kushindwa kujua wapi ufanye nini , muda gani na kwa nini. Utashi ndio unatutofautisha sisi binadam na wanyama.
 
Mara zote nmekuwa nikisema kuwa hawa wasanii tunawapoteza sisi washabiki kwa kushindwa kuwaambia ukweli instead we beat around da bush. Juma nature ni msanii mwenye kipaji ambacho mpaka sasa narudia tena mpaka sana hakuna aliekifikia ktk bongo fleva kwa maana ya sauti(vocal),chord,mashairi(idea)style nk kubali usikubali. Zaid Nature anapendwa na sababu ni vle alivyo simple. Nature anakula popote na chochote iwe mihogo au kwa mamantilie.Nature hampiti mtu bila kumsalimia iwe anakuju
umenena vema sana washabiki wana changia sana kumpoteZa Nature maana hawamwambii ukweli kuwa ana takiwa kubadilika na hao wanao mshangilia watakuja kumgeuka; mimi ni shabiki wa nature lakini nature ana katisha tamaa kabisa!
 
Back
Top Bottom