Juma Nature kumng'oa Mtemvu Temeke

Juma Nature kumng'oa Mtemvu Temeke

Juma nature ni moja ya watu wanaopendwa sana katika nchi yetu.huyu jamaa kupitia kipaj chake alichonacho kwa nini asije kugombea jimboni kwetu kigoma kaskazini?mbunge wetu ameishia kutenda kazi za watanzania na kutusahau wanakigoma kaskazini tuliomchagua.ameishia kutetea escrow na masuala ya sukari na kusahau wanakigoma kaskazini shida zao.juma naomba uje tutakupa kura.
kwa hiyo hayo maendeleo yataletwa kwa kupendwa kwake???!! hivi mbona wa Tz tumeamua kufanya siasa kana kwamba ni kama upiga debe tu, hata huo upiga debe una sifa zake kama kuwa na stamina ya kusimama muda mrefu,juani, na uwe na ngozi ya ku reflects mwanga wa jua, na sauti isiyokauka, sasa wewe unataka kuchekesha watu, juma nature kwa uwezo gani alionao??? wa kuingia bungeni? mbona unadharirisha watu wa kgm wewe?
 
yaani mtu anaamua kututhibitishia umburura wake kwa kumuanika hadharan mburula mwenzie akidhan kuwa mtu yeyote anaweza kuwa kiongoz..shame on you layman.
 
Juma nature ni moja ya watu wanaopendwa sana katika nchi yetu.huyu jamaa kupitia kipaj chake alichonacho kwa nini asije kugombea jimboni kwetu kigoma kaskazini?mbunge wetu ameishia kutenda kazi za watanzania na kutusahau wanakigoma kaskazini tuliomchagua.ameishia kutetea escrow na masuala ya sukari na kusahau wanakigoma kaskazini shida zao.juma naomba uje tutakupa kura.

Lulu elizabeth na yeye akagombee jimbo gani manake watanzania tushavurugwa kila kingaacho si dhahabu kalagabaho.
 
Back
Top Bottom