Juma na Roza ukurasa wa kwanza

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,037
Reaction score
168,678



Dadication kwa dada yangu ambaye alikariri kitabu kizima kuanzia mwanzo hadi wa mwisho.
Baba akawa anajitapa kwa wenzake, mi mwanangu anajua kusoma sana.
Basi kuna siku moja tulitembelewa na mgeni, basi, mgeni alikuwa amesikia sana sifa za dada yangu, basi akafunua ukurasa wa ndani, katikati.
Hapo ndio muujiza ulipotokea, dada yangu akaanza kuyasema maneno yaliyopo ukurasa wa kwanza.
Viva foreva Harry Buju
 
Hiki kitabu wewe unacho? I see umenikumbusha mbali sana!
 
Umekumbushwa nini???

Damasi na gari lake linalounguruma vuuuuuu,............ mama anapika wali na dagaa,...........mayai.............., kengele inalia ngo ngo ngo kila mtoto anasema, ahsante mwalimu,........, na vingine vingi tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…