Juma Kaseja leo taifa!

hicho chuo mkuu wa chuo ninani? Leo kinesi atakuwa kaleta waganga wake wa bagamoyo yule mzee noma, sisi tumecheza wa kitabu yan okwi, ngasa, nyonzima wote mbele!!!! Kaseja ndio anafungisha kizembe hiv kweli.

Wachezaji wengi ambao Yanga imesajili hawako katika plan za Mwalimu, wamejazana wenye majina lakini combination ni sifuri, kana kwamba ukiwachukua wachezaji wazuri waliocheza Simba ni ushindi. Ukweli ni kwamba wachezaji ambao mdau amewahesabu kwenye mechi ya leo ni Sita ambao wote ni zao la karibuni toka Msimbazi, sasa format ya jinsi ya kuwatumia imeonyesha hawajui kuwatumia.
 
Kaseja sio wakusingiziwa kwasababu hata ukiangalia umilikaji wa mpira uwanjani simba walimiliki kwa kiasi kikubwa.
Kwahyo inaonyesha kuwa Yanga walizidiwa sana kimchezo.. halafu ujue Simba vijana wengi kwahyo mpera mpera vijibabu vya Yanga vilichemka kwenda na mwendo.
Poleni watani tutakutana mbele kwenye ligi.
 
IMG_3881.JPG
 
Nimesikia uvumi kwamba wanaulizia mkataba wa Ramadhani Singano ili wamsajili.Huyu kijana jana aliwaadhiri Simba veteran so nasikia kazi kapewa Bin Kleb. Sajilini timu nzima .Rage akiondoka msahau kuifunga Simba.:happy::happy::happy:
 
Juma Kaseja, Ali Mustapha, Deo Munishi, Athuman Iddi Chuji, Kelvin Yondani, Emmanuel Okwi.... Haiwezekani kuangalia sehemu nyingine ya kupata wachezaji kweli?
 
Hahaa kweli binadamu hatukosi visingizio. Kwa kawaida mpira huanza kuchezwa na no 9 akiwa bega kwa bega na 10, 8 na 11 sasa mpaka no afikiwe ujue matatizo yameanzia mbali. Sioni haja ya kumlaumu Kaseja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom