ninyi Kaseja hamumjui vizuri, tumewaletea zindiko letu hapo, MBELE MMEKAZA NYUMA MMEACHIAhicho chuo mkuu wa chuo ninani? Leo kinesi atakuwa kaleta waganga wake wa bagamoyo yule mzee noma, sisi mbele tumecheza wa kitabu yan okwi, ngasa, nyonzima wote mbele!!!! nyuma Kaseja ndio anafungisha kizembe hiv kweli.
aha! Sina raha kabisa ata okwi kafunga lakini
acha kuniumiza bhana, ulikuwepo uwanjani au kideoni.
ninyi Kaseja hamumjui vizuri, tumewaletea zindiko letu hapo, MBELE MMEKAZA NYUMA MMEACHIA
nimepata msangao sana juu ya uchezaji wa huyu kijana ni dhahiri kimwili yupo yanga kiakili bado yupo simba kabisa, goli la tatu ni uzembe mkubwa sana mpaka akafikia kuwapunguza nguvu wenzake kutafuta na kufuta magoli, naomba mzee akilimali mchunguze na akiwezekana mechi za simba hasidake kabisa, ameniudhi sana leo
yaweza kuwa mkuu, nilipiga kinana nne kabla kuingia zote nimetoka sina kichwani kabisa.
Sio kwamba siamini, nataka niwahesabu tu kuweka msisitizo; Kaseja, Yondani, Chuji, Ngasa, Okwi na Dida ingawa alikuwa benchi, kwa hiyo ni wachezaji sita.
Bado na mwanachama wetu mwingine mnamtaka (Kapombe), Wanafanya kazi nzuri hao. Subirini mechi ya watani inayofuata tutawapiga zaidi ya 5. Kwa uchu wenu wa kusajili mamluki.