Juma Kaseja leo taifa!

frema120

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
5,100
1,195
nimepata msangao sana juu ya uchezaji wa huyu kijana ni dhahiri kimwili yupo yanga kiakili bado yupo simba kabisa, goli la tatu ni uzembe mkubwa sana mpaka akafikia kuwapunguza nguvu wenzake kutafuta na kufuta magoli, naomba mzee akilimali mchunguze na akiwezekana mechi za simba hasidake kabisa, ameniudhi sana leo
 
Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,144
2,000
sikubaliani na wewe, goli la babu lile
nimepata msangao sana juu ya uchezaji wa huyu kijana ni dhahiri kimwili yupo yanga kiakili bado yupo simba kabisa, goli la tatu ni uzembe mkubwa sana mpaka akafikia kuwapunguza nguvu wenzake kutafuta na kufuta magoli, naomba mzee akilimali mchunguze na akiwezekana mechi za simba hasidake kabisa, ameniudhi sana leo
 
Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,144
2,000
nusu ya timu leo ni wachezaji waliotoka simba, kama huamni hesabu
nimepata msangao sana juu ya uchezaji wa huyu kijana ni dhahiri kimwili yupo yanga kiakili bado yupo simba kabisa, goli la tatu ni uzembe mkubwa sana mpaka akafikia kuwapunguza nguvu wenzake kutafuta na kufuta magoli, naomba mzee akilimali mchunguze na akiwezekana mechi za simba hasidake kabisa, ameniudhi sana leo
 
PETER TEMU

Member
Nov 20, 2013
39
0
Hizo ndio faida za kukimbilia kusajili wachezaji kutoka Simba. Viongozi wa YANGA wabadilike aina ya usajili wanaofanya wanafikiri wanaikomoa SIMBA kumbe wanajikomoa.na bado!
 
frema120

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
5,100
1,195
kuna bango limeandikwa simba chuo cha mafunzo, nasikia wanamtaka Ivo, Musoti na Mesi

hicho chuo mkuu wa chuo ninani? Leo kinesi atakuwa kaleta waganga wake wa bagamoyo yule mzee noma, sisi tumecheza wa kitabu yan okwi, ngasa, nyonzima wote mbele!!!! Kaseja ndio anafungisha kizembe hiv kweli.
 
TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
16,728
2,000
Kaseja leo kaniharibia siku
Kaseja asilaumiwe....!wakulaumiwa ni Mrisho Ngassa....ambaye amedhalilisha wanamichezo kwa kushiriki kupigwa picha akifanya shughuli za uchi....ili hasa ndilo linaloendeleza laana pale jangwani. Binafsi nilijitoa kuishabikia yanga mpaka pale huyu dogo atakapoomba msamaha kwa wanamichezo ka utovu wake wa hekima na busara hadharani.

Hivyo yanga endelea kuugulia maumivu ya Laana za Ngassa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom