Juma Jux alikuwa anasomea nini?

HR 666

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
3,935
2,000
Jux alikuwa anasomea nini maana nimeona amegradueti na wachina.
 

Nzory Mussa

Verified Member
Jan 20, 2017
451
1,000
June 22, 2017 baada ya maswali ya watu mbali waliokuwa wanahoji kitu alichokuwa anafanyaJux China hatimaye mwimbaji huyo staa wa Bongofleva ameonesha picha za graduation ya kuhitimu Degree ya Computer Science kutoka Guangdong University.
 

kadoda11

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
21,496
2,000
hawawezi kukwambia.
alichokuwa anasomea kinalindwa kama inavyolindwa mikataba ambayo serikali iliingia na wawezaji.
 

middle east

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
1,201
2,000
Computer science ...nimependa alivyofanya wabongo wengi wali diss Mara ni ngada yule anasema lile
 

enjai ya kyasha

JF-Expert Member
Apr 6, 2017
2,904
2,000
mkuu humu ni great thinkers kwa hiyo tnajadaili ideas sio watu hayo ya kujadili watu peleka celebrities forum
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom