Juma Duni mgombea mwenza UKAWA yuko wapi?

Juma Duni mgombea mwenza UKAWA yuko wapi?

Na misemo yake ya kipemba hata watu hawamuelewi...majority of course. Marikiti....teh!
 
Vijana wapya wa c.c.m wenye id mpya za kupokezana a..k.a buku 7 team...
**mmefulia mnaleta viroja badala ya hoja!
 
muheshima Juma popote ulipo njo uendelea na kampeni tumeshawaambia wananchi waache zomea zome zao njo uendee bana na kampeni maana siku zenyewe zinakwisha, mbona mama azomewi!!

Alikwenda Hijja toka jumatatu,nadhani atarudi jpili
 
Vijana wapya wa c.c.m wenye id mpya za kupokezana a..k.a buku 7 team...
**mmefulia mnaleta viroja badala ya hoja!

Acheni watu watoe maoni yao. Wewe ni nani hadi uwaamulie wanachoandika? Wakiandika mnasema ni buku saba...mara vioja, hivi nyani haoni tako lake eenh, hayo mahaba mliyonayo kwa Lowasa regardless of his weakness mbona hatuzisemi...
 
Juma Duni...kawa duni kweli anashindwa hata kupunguza ndevu...kuna bango moja kavaa kanzu afu kamkalia nyuma EL kama basha flani hivi
 
Si kweli, kilichomkatisha tamaa ni kile alicho sema Dr. Slaa kuwa Chadema wame hamishia choo cha CCM chumbani kwao, baada ya mgombea kujiachia na choo Laivu. Kumbuka yule ni Mpemba wenzetu wanakuwa na Taasisi tofauti kwa tukio Kama lile.

Hahaaa mkuu umenena
 
Ccm mwaka ndo wamekuwa kama wapinzabi angalia hata mada wanazoanzisha ni za kiupinzani zaidi

Ni kweli kwani kwa sasa wao ndiyo wanakemea ufisadi tofauti na tulivyozoea CDM ikikemea ufisadi.
 
Mama Samia katika ubora wake

Na baba Samia huyu hapa, kweli mwaka huu ni vituko kweli mara Push up mara kusonga Ugali na ndio maana yule mama ameamua kujiweka kando

blogger-image--124668832.jpg
 
kuanzia jana naona ni awamu ya nguvu yakuzusha kila uwongo ktk mitandao ili labda huwenda ikasaidia mara twaweza % 69 kama mnaweza kwanini mlete uwongo hapa! mara juma duni kazomewa, kazomewa wap?

mgekuwa ni wakweli mgeeleza humu maelezo ya kuwafanya wanajamii wawakubali lkn kila siku uzandik mpya mnajimaliza.
 
Kaingizwa chaka.. Kutoka anataka kubaki anashindwa.
 
Amechua chake na kula kona....mambo magumu...kila anapoenda ni kuzomewa.... Anajuta kuwafahamu chadema....idiology zake na chadema not compactible....malengo tofauti..... Hali yake ni tete!!!
 
Back
Top Bottom