Julius Mwita aliyekuwa CHADEMA na kwenda CHAUMMA kaamua awe Mchungaji?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,146
Reaction score
48,382
Eneo rahisi la kuvutia watanzania wenye shida zilizosababishwa na CCM , ni kuanzisha Kanisa.

Huko ndiko watu kama "Kiboko ya wachawi" alikotapeli maelfu ya watanzania na kuachwa na CCM "atorokee" kwao Kongo na kuanza kuwananga wateja zake wa zamani kuwa ni wajinga.

Leo nimeiona hii Clip ya Julius Mwita aliyekuwa CHADEMA na kuhamia CHAUMMA kama kwa mbaali akianza kuingia kwenye kuwa "motivational gospel Preacher" kama kina Tony Kapola.

Hebu angalia Kwa Darubini Kali hii clip utaelewa ninachomaanisha.

johnthebaptist sabato si imekwishapita?

😄😀😆
 
View attachment 3436919

johnthebaptist sabato si imekwishapita?

😄😀😆
46452cfe-d368-47eb-a3d0-098dd65004bc.jpeg
 
Mbona he sounds like a nigerian guy.
 
Huyu ni yule walikua wanapigana na serikali boni yai kaweka plate NO CHIEF MAYOR
pale KARIMJEE.
Magu akalala nao mbere
 
Nyinyi waumini tegemez, mtaliwa vihela vyenu had mkome
Kafungue nije na familia ya yangu tuko 18, tafuta 2 tuwe 20.

Sasa Mimi kutoa hela Kwa kanisa ndio Raha yangu.
Yaan napokosa hela nawaza itakuwaje mwezi huu nimeshindwa hata kuwalisha watu kumi kanisan.
Kila MTU ana motives tofayti ya kuwa na hela, Mimi from the bottom of my heart ni kulilisha kanisa na hiyo ndio furaha yangu.

Kwa hiyo tumia pesa ikupe furaha ya moyo wako. Wengine ni wanaume kama yule wa Celtel zaman mkenya mwanaume alikuwa ananunua vijana wamgeuze, so na wewe fanya hivyo Ili mradi upate furaha kwa peaa yako

Back
Top Bottom