Julius Mtatiro na uchambuzi wake kwa Lowassa

Dah, huu uzi raha sana kuurudia rudia halaf unawasikiliza wapambanaji wetu leo wanaongea nini!!!!!!!!!
 
Ni hatari sana jf haiongopi

Asante jf unatuonesha minafki iliyokubuhu
 
Mwaka huu hamchomoki, siasa zenu nyepesi sana haziwezi kumsumbua Dr wa ukweli
Hivi hawa waliokuwa na misimamo hii kwamba EL Hafai bado wanaamini hivi. Au sasa hivi wameshamuondolea hizo dhambi na amekuwa kiumbe kipya?
Waache wadhani ukishampitisha mwanaccm amekuwa rais kiasi cha kutuletea fisadi. Tukutane October hapa![/QUOTE]
 
Labda tumwite Mtatiro aje hapa aandike tena kama ana uthubutu. Dunia hii.
 
UCHAMBUZI JUU YA LOWASSA NA MKUTANO WAKE NA WAHARIRI.

Ndugu zangu, Nilipofanya uchambuzi wa kina juu ya Edward Lowassa nilieleza Udhaifu wake katika maeneo mawili:

- Kwanza nilieleza alivyo karibu na watu wenye majina na taswira zinazotia mashaka (tunawafahamu) na baadhi yao wamewahi kutuhumiwa kuhusika kwenye kashfa kubwa za ufisadi. Nikasisitiza kuwa kama hatatoa maelezo ya kuridhisha juu ya mgongano wa kimaslahi juu yake na wafanyabiashara hao wenye taswira hasi, atapata matatizo.
ALIPOONGEA NA WAANDISHI JANA KALIONGELEAJE HILI?

- Pili, nilieleza kwamba hajawahi kuonekana akipambana na rushwa na wala rushwa, wala huwa hapendi kuongea mikakati ya kudhibiti rushwa n.k. Na nilisisitiza kuwa alipokuwa Waziri Mkuu hakuonekana mstari wa mbele kupambana na wala rushwa, nilionesha wasiwasi wangu juu ya uwezo wake wa kuondoa rushwa na wala rushwa wanaoitafuna nchi hii.

Tatu, nilitaja mambo matano yanayoweza kumwangusha kwenye mchakato wa uteuzi ndani ya CCM:-

Moja - nilisisitiza juu ya makundi kama sababu ya kwanza ikitokea anaenguliwa.

Pili - nikazungumzia kashfa ya Richmond ambayo mara kadhaa amesikika akisema yeye hakuhusika lakini hakuwahi kuwataja waliohusika.

Tatu - nilizungumzia historia ya CCM kutowahi kumpitisha kiongozi ambaye amewahi kutuhumiwa kimaadili.

Nne - nilizungumzia suala la afya yake.

Tano - nilizungumzia suala la yeye kujitolea sana kifedha kila anakoenda na kualikwa na nikaweka shaka juu ya fedha hizo kama zinatolewa ili kuwasaidia watanzania tu au ni moja ya njia ya kusaka ukuu.

Na mwisho (sita) - niliongelea tetesi zilizopo kuwa yeye na bwana mkubwa hawana mahusiano mazuri hivi sasa.

JE ALIPOONGEA NA WAANDISHI JANA KAONGEA LOLOTE KATI YA HAYA?
Naamini Lowasa alipoenda kuongea Azam tv hakusema anaenda kumjibu Mtatiro bali alikuwa anamjibu mwedesha kipindi kutokana na maswali aliyomuuliza. Mtatiro ukitaka akujibu mtafute ili mpange siku ukamhoji hayo unayotaka ayajibu
 
Njia ya muongo ni fupi,

Mtatiro wewe ni mchumia tumbo
 
UCHAMBUZI JUU YA LOWASSA NA MKUTANO WAKE NA WAHARIRI.

Ndugu zangu, Nilipofanya uchambuzi wa kina juu ya Edward Lowassa nilieleza Udhaifu wake katika maeneo mawili:

- Kwanza nilieleza alivyo karibu na watu wenye majina na taswira zinazotia mashaka (tunawafahamu) na baadhi yao wamewahi kutuhumiwa kuhusika kwenye kashfa kubwa za ufisadi. Nikasisitiza kuwa kama hatatoa maelezo ya kuridhisha juu ya mgongano wa kimaslahi juu yake na wafanyabiashara hao wenye taswira hasi, atapata matatizo.
ALIPOONGEA NA WAANDISHI JANA KALIONGELEAJE HILI?

- Pili, nilieleza kwamba hajawahi kuonekana akipambana na rushwa na wala rushwa, wala huwa hapendi kuongea mikakati ya kudhibiti rushwa n.k. Na nilisisitiza kuwa alipokuwa Waziri Mkuu hakuonekana mstari wa mbele kupambana na wala rushwa, nilionesha wasiwasi wangu juu ya uwezo wake wa kuondoa rushwa na wala rushwa wanaoitafuna nchi hii.
ALIPOONGEA NA WAANDISHI JANA KALIONGELEAJE HILI?

Tatu, nilitaja mambo matano yanayoweza kumwangusha kwenye mchakato wa uteuzi ndani ya CCM:-

Moja - nilisisitiza juu ya makundi kama sababu ya kwanza ikitokea anaenguliwa.

Pili - nikazungumzia kashfa ya Richmond ambayo mara kadhaa amesikika akisema yeye hakuhusika lakini hakuwahi kuwataja waliohusika.

Tatu - nilizungumzia historia ya CCM kutowahi kumpitisha kiongozi ambaye amewahi kutuhumiwa kimaadili.

Nne - nilizungumzia suala la afya yake.

Tano - nilizungumzia suala la yeye kujitolea sana kifedha kila anakoenda na kualikwa na nikaweka shaka juu ya fedha hizo kama zinatolewa ili kuwasaidia watanzania tu au ni moja ya njia ya kusaka ukuu.

Na mwisho (sita) - niliongelea tetesi zilizopo kuwa yeye na bwana mkubwa hawana mahusiano mazuri hivi sasa.

JE ALIPOONGEA NA WAANDISHI JANA KAONGEA LOLOTE KATI YA HAYA?
Lowasa hana maigzo. Tatizo mmezoea mtu anayejifanya anapambana na rushwa kumbe nyuma yake ndye anakula nao meza moja.
 
Kijana.,
Sasa huyo bosi wako hebu sema tena na useme kwa sauti ha ha ha.
 
Mkuu upo sahihi sana kwenye hoja hizo.
Huyu Mh L anataka kutufanya watanzania woote ni mambumbumbu , kila siku yeye anaongea ajira ajira ,Kutwa kucha ni ajiraa ajiraa. Mbona haongelei mashwala ya ufisadi na rushwa? Anashangaza sana. Wa Tz sio wajinga kama anavyofikiri
Kweli Kabisa aliwapumbaza hao hao UKAWA. Sisi kwenye akili hatukumpa kura kabisaaaaaaaaa!
Uliona wapambe wake? ndege wa rangi moja!
 
UCHAMBUZI JUU YA LOWASSA NA MKUTANO WAKE NA WAHARIRI.

Ndugu zangu, Nilipofanya uchambuzi wa kina juu ya Edward Lowassa nilieleza Udhaifu wake katika maeneo mawili:

- Kwanza nilieleza alivyo karibu na watu wenye majina na taswira zinazotia mashaka (tunawafahamu) na baadhi yao wamewahi kutuhumiwa kuhusika kwenye kashfa kubwa za ufisadi. Nikasisitiza kuwa kama hatatoa maelezo ya kuridhisha juu ya mgongano wa kimaslahi juu yake na wafanyabiashara hao wenye taswira hasi, atapata matatizo.
ALIPOONGEA NA WAANDISHI JANA KALIONGELEAJE HILI?

- Pili, nilieleza kwamba hajawahi kuonekana akipambana na rushwa na wala rushwa, wala huwa hapendi kuongea mikakati ya kudhibiti rushwa n.k. Na nilisisitiza kuwa alipokuwa Waziri Mkuu hakuonekana mstari wa mbele kupambana na wala rushwa, nilionesha wasiwasi wangu juu ya uwezo wake wa kuondoa rushwa na wala rushwa wanaoitafuna nchi hii.
ALIPOONGEA NA WAANDISHI JANA KALIONGELEAJE HILI?

Tatu, nilitaja mambo matano yanayoweza kumwangusha kwenye mchakato wa uteuzi ndani ya CCM:-

Moja - nilisisitiza juu ya makundi kama sababu ya kwanza ikitokea anaenguliwa.

Pili - nikazungumzia kashfa ya Richmond ambayo mara kadhaa amesikika akisema yeye hakuhusika lakini hakuwahi kuwataja waliohusika.

Tatu - nilizungumzia historia ya CCM kutowahi kumpitisha kiongozi ambaye amewahi kutuhumiwa kimaadili.

Nne - nilizungumzia suala la afya yake.

Tano - nilizungumzia suala la yeye kujitolea sana kifedha kila anakoenda na kualikwa na nikaweka shaka juu ya fedha hizo kama zinatolewa ili kuwasaidia watanzania tu au ni moja ya njia ya kusaka ukuu.

Na mwisho (sita) - niliongelea tetesi zilizopo kuwa yeye na bwana mkubwa hawana mahusiano mazuri hivi sasa.

JE ALIPOONGEA NA WAANDISHI JANA KAONGEA LOLOTE KATI YA HAYA?
Umepatia kwelikweli...

Ulisahau tu kuongezea part 2 yenye theme title "Kubadili Gia Angani"
 
Mtatiro wa 2015 alisombwa na mafuriko akaja mwingine 2016 anayemtambua Lowasa kama mkombozi.
 
Back
Top Bottom