mudysquare
Member
- May 6, 2012
- 82
- 12
Mtaishia ivyoivyo tu
Kawaambie hivyo kina kuninita na makonda maana ndio wako.chama kimoja lkn wanatofautiana
Kwani Ccm ni chama cha siasa au genge la mafisadi?
Lowasa anamiaka 30 eti eh?? Ivi wanazidiana miaka mingapi? Ivi Edo alivyonyon'gomyea anaweza pamabana na Slaa kweli?? Kama hawezi shika kikombe cha chai kwa walau.dakika 3 unamuweka kwenye kundi la watu imara???[/QUOTE]Warning: usije hapa na kile kibabu kizi cha wake za watu na kitoro kanisani utapata aibu ya mwaka.
babu yako mkono wake mmoja umelaniwa tayari haufanyi kazi, usiongelee kikombe wewe babu mpe sindano tu habebi.[/QUOTE]Lowasa anamiaka 30 eti eh?? Ivi wanazidiana miaka mingapi? Ivi Edo alivyonyon'gomyea anaweza pamabana na Slaa kweli?? Kama hawezi shika kikombe cha chai kwa walau.dakika 3 unamuweka kwenye kundi la watu imara???
Kwani rushwa akiikemea ndio itaisha?
babu yako mkono wake mmoja umelaniwa tayari haufanyi kazi, usiongelee kikombe wewe babu mpe sindano tu habebi.[/QUOTE]Lowasa anamiaka 30 eti eh?? Ivi wanazidiana miaka mingapi? Ivi Edo alivyonyon'gomyea anaweza pamabana na Slaa kweli?? Kama hawezi shika kikombe cha chai kwa walau.dakika 3 unamuweka kwenye kundi la watu imara???
hilo la kimada unalisemeaje? isitoshe Mshumbusi kwa umri wake anahitaji huduma babu kamuweka kama picha, unataka watu waruke ukuta ili wapige mzigo ufalmeni? Urais sio ukatibu wa saccos uwe na adabu kijana.[/QUOTE]babu yako mkono wake mmoja umelaniwa tayari haufanyi kazi, usiongelee kikombe wewe babu mpe sindano tu habebi.
hilo la kimada unalisemeaje? isitoshe Mshumbusi kwa umri wake anahitaji huduma babu kamuweka kama picha, unataka watu waruke ukuta ili wapige mzigo ufalmeni? Urais sio ukatibu wa saccos uwe na adabu kijana.

kwani suala la mama kuwa na uhitaji nalo ni siasa nyepesi? this is critical issue.[/QUOTE]Mwaka huu hamchomoki, siasa zenu nyepesi sana haziwezi kumsumbua Dr wa ukweli
Akimtaja alihusika na RICHMOND nitamuunga mkono EL
sio matusi hoja hapa ni nyie vichwa maji, hapa sote tunajua kwamba nchi hii ina ombwe la uongozi kwa sasa, so tunajikuta kwenye kundi la vipofu tunamtafuta chonge na hapo ndo EL anapasua anga, unabisha leta mgombea wako tumlinganishe na EL ndo utajua nachomanisha. Warning: usije hapa na kile kibabu kizi cha wake za watu na kitoro kanisani utapata aibu ya mwaka.