Julius Mtatiro na uchambuzi wake kwa Lowassa

Kaguta

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
414
Reaction score
504
UCHAMBUZI JUU YA LOWASSA NA MKUTANO WAKE NA WAHARIRI.

Ndugu zangu, Nilipofanya uchambuzi wa kina juu ya Edward Lowassa nilieleza Udhaifu wake katika maeneo mawili:

- Kwanza nilieleza alivyo karibu na watu wenye majina na taswira zinazotia mashaka (tunawafahamu) na baadhi yao wamewahi kutuhumiwa kuhusika kwenye kashfa kubwa za ufisadi. Nikasisitiza kuwa kama hatatoa maelezo ya kuridhisha juu ya mgongano wa kimaslahi juu yake na wafanyabiashara hao wenye taswira hasi, atapata matatizo.
ALIPOONGEA NA WAANDISHI JANA KALIONGELEAJE HILI?

- Pili, nilieleza kwamba hajawahi kuonekana akipambana na rushwa na wala rushwa, wala huwa hapendi kuongea mikakati ya kudhibiti rushwa n.k. Na nilisisitiza kuwa alipokuwa Waziri Mkuu hakuonekana mstari wa mbele kupambana na wala rushwa, nilionesha wasiwasi wangu juu ya uwezo wake wa kuondoa rushwa na wala rushwa wanaoitafuna nchi hii.
ALIPOONGEA NA WAANDISHI JANA KALIONGELEAJE HILI?

Tatu, nilitaja mambo matano yanayoweza kumwangusha kwenye mchakato wa uteuzi ndani ya CCM:-

Moja - nilisisitiza juu ya makundi kama sababu ya kwanza ikitokea anaenguliwa.

Pili - nikazungumzia kashfa ya Richmond ambayo mara kadhaa amesikika akisema yeye hakuhusika lakini hakuwahi kuwataja waliohusika.

Tatu - nilizungumzia historia ya CCM kutowahi kumpitisha kiongozi ambaye amewahi kutuhumiwa kimaadili.

Nne - nilizungumzia suala la afya yake.

Tano - nilizungumzia suala la yeye kujitolea sana kifedha kila anakoenda na kualikwa na nikaweka shaka juu ya fedha hizo kama zinatolewa ili kuwasaidia watanzania tu au ni moja ya njia ya kusaka ukuu.

Na mwisho (sita) - niliongelea tetesi zilizopo kuwa yeye na bwana mkubwa hawana mahusiano mazuri hivi sasa.

JE ALIPOONGEA NA WAANDISHI JANA KAONGEA LOLOTE KATI YA HAYA?
 
UCHAMBUZI JUU YA LOWASSA NA MKUTANO WAKE NA WAHARIRI
Ndugu zangu, Nilipofanya uchambuzi wa kina juu ya Edward Lowassa nilieleza Udhaifu wake katika maeneo mawili:
Kwanza nilieleza alivyo karibu na watu wenye majina na taswira zinazotia mashaka (tunawafahamu) na baadhi yao wamewahi kutuhumiwa kuhusika kwenye kashfa kubwa za ufisadi. Nikasisitiza kuwa kama hatatoa maelezo ya kuridhisha juu ya mgongano wa kimaslahi juu yake na wafanyabiashara hao wenye taswira hasi, atapata matatizo. ALIPOONGEA NA WAANDISHI JANA KALIONGELEAJE HILI?
Pili, nilieleza kwamba hajawahi kuonekana akipambana na rushwa na wala rushwa, wala huwa hapendi kuongea mikakati ya kudhibiti rushwa n.k. Na nilisisitiza kuwa alipokuwa Waziri Mkuu hakuonekana mstari wa mbele kupambana na wala rushwa, nilionesha wasiwasi wangu juu ya uwezo wake wa kuondoa rushwa na wala rushwa wanaoitafuna nchi hii. ALIPOONGEA NA WAANDISHI JANA KALIONGELEAJE HILI?
Tatu, nilitaja mambo matano yanayoweza kumwangusha kwenye mchakato wa uteuzi ndani ya CCM:
Moja, nilisisitiza juu ya makundi kama sababu ya kwanza ikitokea anaenguliwa.
Pili, nikazungumzia kashfa ya Richmond ambayo mara kadhaa amesikika akisema yeye hakuhusika lakini hakuwahi kuwataja waliohusika.
Tatu nilizungumzia historia ya CCM kutowahi kumpitisha kiongozi ambaye amewahi kutuhumiwa kimaadili.
Nne, nilizungumzia suala la afya yake.
Tano, nilizungumzia suala la yeye kujitolea sana kifedha kila anakoenda na kualikwa na nikaweka shaka juu ya fedha hizo kama zinatolewa ili kuwasaidia watanzania tu au ni moja ya njia ya kusaka ukuu.
Na mwisho, (sita) niliongelea tetesi zilizopo kuwa yeye na bwana mkubwa hawana mahusiano mazuri hivi sasa.

Mkuu upo sahihi sana kwenye hoja hizo.
Huyu Mh L anataka kutufanya watanzania woote ni mambumbumbu , kila siku yeye anaongea ajira ajira ,Kutwa kucha ni ajiraa ajiraa. Mbona haongelei mashwala ya ufisadi na rushwa? Anashangaza sana. Wa Tz sio wajinga kama anavyofikiri
 
Uliona wapambe wake? ndege wa rangi moja!
 
Akimtaja alihusika na RICHMOND nitamuunga mkono EL
 
UCHAMBUZI JUU YA LOWASSA NA MKUTANO WAKE NA WAHARIRI
Ndugu zangu, Nilipofanya uchambuzi wa kina juu ya Edward Lowassa nilieleza Udhaifu wake katika maeneo mawili:
Kwanza nilieleza alivyo karibu na watu wenye majina na taswira zinazotia mashaka (tunawafahamu) na baadhi yao wamewahi kutuhumiwa kuhusika kwenye kashfa kubwa za ufisadi. Nikasisitiza kuwa kama hatatoa maelezo ya kuridhisha juu ya mgongano wa kimaslahi juu yake na wafanyabiashara hao wenye taswira hasi, atapata matatizo. ALIPOONGEA NA WAANDISHI JANA KALIONGELEAJE HILI?
Pili, nilieleza kwamba hajawahi kuonekana akipambana na rushwa na wala rushwa, wala huwa hapendi kuongea mikakati ya kudhibiti rushwa n.k. Na nilisisitiza kuwa alipokuwa Waziri Mkuu hakuonekana mstari wa mbele kupambana na wala rushwa, nilionesha wasiwasi wangu juu ya uwezo wake wa kuondoa rushwa na wala rushwa wanaoitafuna nchi hii. ALIPOONGEA NA WAANDISHI JANA KALIONGELEAJE HILI?
Tatu, nilitaja mambo matano yanayoweza kumwangusha kwenye mchakato wa uteuzi ndani ya CCM:
Moja, nilisisitiza juu ya makundi kama sababu ya kwanza ikitokea anaenguliwa.
Pili, nikazungumzia kashfa ya Richmond ambayo mara kadhaa amesikika akisema yeye hakuhusika lakini hakuwahi kuwataja waliohusika.
Tatu nilizungumzia historia ya CCM kutowahi kumpitisha kiongozi ambaye amewahi kutuhumiwa kimaadili.
Nne, nilizungumzia suala la afya yake.
Tano, nilizungumzia suala la yeye kujitolea sana kifedha kila anakoenda na kualikwa na nikaweka shaka juu ya fedha hizo kama zinatolewa ili kuwasaidia watanzania tu au ni moja ya njia ya kusaka ukuu.
Na mwisho, (sita) niliongelea tetesi zilizopo kuwa yeye na bwana mkubwa hawana mahusiano mazuri hivi sasa.
JE ALIPOONGEA NA WAANDISHI JANA KAONGEA LOLOTE KATI YA HAYA?

mtatiro cuf wamemchanganya,ni ambaye aliwahi kukemea rushwa kabla ya kuwa rais ispokuwa nyerere pekee.rushwa iliyokithiri ktk ngwe tatu za uongozi nani amekemea.mnikulu gurumo ni ndugu yake lowasa?mbona hata kukemewa hakukemewa na mtawala.we acheni utaahira eti kwa kuwa tu lowasa nataka urais ndo miwasho hadi choo kikubwa
 
Hana uthubutu wa huo, anabaki kupiga blaablaa za ajira kwa vijana ni bomu ndo umekuwa wimbo wake.
 
mtatiro cuf wamemchanganya,ni ambaye aliwahi kukemea rushwa kabla ya kuwa rais ispokuwa nyerere pekee.rushwa iliyokithiri ktk ngwe tatu za uongozi nani amekemea.mnikulu gurumo ni ndugu yake lowasa?mbona hata kukemewa hakukemewa na mtawala.we acheni utaahira eti kwa kuwa tu lowasa nataka urais ndo miwasho hadi choo kikubwa

Najiuliza team Lowassa kwa nini hamna hoja badala yake mna matusi? Nilitegemea hoja zinzomshinda boss wenu mngezijbu badala yake mnatukana. Mnamsaidie kweli?
 
uchambuzi juu ya lowassa na mkutano wake na wahariri.

ndugu zangu, nilipofanya uchambuzi wa kina juu ya edward lowassa nilieleza udhaifu wake katika maeneo mawili:

- kwanza nilieleza alivyo karibu na watu wenye majina na taswira zinazotia mashaka (tunawafahamu) na baadhi yao wamewahi kutuhumiwa kuhusika kwenye kashfa kubwa za ufisadi. Nikasisitiza kuwa kama hatatoa maelezo ya kuridhisha juu ya mgongano wa kimaslahi juu yake na wafanyabiashara hao wenye taswira hasi, atapata matatizo.
Alipoongea na waandishi jana kaliongeleaje hili?

- pili, nilieleza kwamba hajawahi kuonekana akipambana na rushwa na wala rushwa, wala huwa hapendi kuongea mikakati ya kudhibiti rushwa n.k. Na nilisisitiza kuwa alipokuwa waziri mkuu hakuonekana mstari wa mbele kupambana na wala rushwa, nilionesha wasiwasi wangu juu ya uwezo wake wa kuondoa rushwa na wala rushwa wanaoitafuna nchi hii.
Alipoongea na waandishi jana kaliongeleaje hili?

Tatu, nilitaja mambo matano yanayoweza kumwangusha kwenye mchakato wa uteuzi ndani ya ccm:-

moja - nilisisitiza juu ya makundi kama sababu ya kwanza ikitokea anaenguliwa.

Pili - nikazungumzia kashfa ya richmond ambayo mara kadhaa amesikika akisema yeye hakuhusika lakini hakuwahi kuwataja waliohusika.

Tatu - nilizungumzia historia ya ccm kutowahi kumpitisha kiongozi ambaye amewahi kutuhumiwa kimaadili.

Nne - nilizungumzia suala la afya yake.

Tano - nilizungumzia suala la yeye kujitolea sana kifedha kila anakoenda na kualikwa na nikaweka shaka juu ya fedha hizo kama zinatolewa ili kuwasaidia watanzania tu au ni moja ya njia ya kusaka ukuu.

Na mwisho (sita) - niliongelea tetesi zilizopo kuwa yeye na bwana mkubwa hawana mahusiano mazuri hivi sasa.

Je alipoongea na waandishi jana kaongea lolote kati ya haya?

mtatiro my friend ua too junior kupambana na huyu gwiji la siasa,nafikiri kwa kuwa haya mambo hauyaelewi wala kuyajua kaa zako kimya ukitafakari jinsi ya kushinda ubunge segerea,coz it might not be easy!!!!
 
...mimi nilitaka kusikia msimamo wake juu ya katiba pendekezwa lakini niliambulia kusikia blaa blaa za kujisafisha...
 
kumbe EL alitakiwa kumjibu MTATIRO ?:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:
 
Kwani rushwa akiikemea ndio itaisha?

Tunataka mikakati yake jinsi atakavyopambana na rushwa ambalo ndo tatizo kubwa la nchi hii. Siyo anakuja na mipango ya jumla jumla kama ajira na elimu.
 
Najiuliza team Lowassa kwa nini hamna hoja badala yake mna matusi? Nilitegemea hoja zinzomshinda boss wenu mngezijbu badala yake mnatukana. Mnamsaidie kweli?
sio matusi hoja hapa ni nyie vichwa maji, hapa sote tunajua kwamba nchi hii ina ombwe la uongozi kwa sasa, so tunajikuta kwenye kundi la vipofu tunamtafuta chonge na hapo ndo EL anapasua anga, unabisha leta mgombea wako tumlinganishe na EL ndo utajua nachomanisha. Warning: usije hapa na kile kibabu kizi cha wake za watu na kitoro kanisani utapata aibu ya mwaka.
 
Akimtaja alihusika na RICHMOND nitamuunga mkono EL

Hata mimi haraka haraka tu nitamuunga mkono. Bahati mbaya hawezi kuwataja kwa sababu yeye ndo mhusika mkuu. Vinginevyo anaweza kuchonga dili na pacha wake rostam ili akubali kwamba yeye ndo alihusika kwa kila kitu. Hii yote ikiwa ni juhudi za kutaka madaraka
 
Tunataka mikakati yake jinsi atakavyopambana na rushwa ambalo ndo tatizo kubwa la nchi hii. Siyo anakuja na mipango ya jumla jumla kama ajira na elimu.

Mikakati ya kupambana na rushwa ni kazi ya PCCB
 
mtatiro my friend ua too junior kupambana na huyu gwiji la siasa,nafikiri kwa kuwa haya mambo hauyaelewi wala kuyajua kaa zako kimya ukitafakari jinsi ya kushinda ubunge segerea,coz it might not be easy!!!!

hapa amepambana wapi? Acha uoga wewe? Yeye kama mchambuzi huru wa kisiasa amefanya uchambuzi wake na wewe toa wa kwako.sio kupayuka tu bila kuleta hoja.

Watanzania tuache uoga kwa watawala/ccm/ kila siku mbowe anawaasa
 
mtatiro my friend ua too junior kupambana na huyu gwiji la siasa,nafikiri kwa kuwa haya mambo hauyaelewi wala kuyajua kaa zako kimya ukitafakari jinsi ya kushinda ubunge segerea,coz it might not be easy!!!!

Kawaambie hivyo kina kuninita na makonda maana ndio wako.chama kimoja lkn wanatofautiana
 
Back
Top Bottom