Mwanaharakatihuru
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 477
- 120
Habari hizi nimezipata kutoka dawati la mbele la chama
Zamani nilikuwa siamini mtu na akili zake timamu, akiona kuna mtu kajinyamazia, basi anamzushia zengwe ili tuu kumchokoa!.
Mtatiro ni boya tuu pale CUF ili kuzugia kupunguza yale makali kuhusu CUF ni chama cha aina gani!.
CUF inao mgombea wa kudumu kwa nafasi zote za urais bara na visiwani!, kwanini mnamchokoza huyo ngao yenu Mtatiro kwa kumzushia na kumsingizia?!.