Julius Mtatiro, John Heche na Nape Nnauye

Wewe, watu wanajadili uwezo wa kujenga hoja, hilo swala la kabila lao wewe umelitoa wapi? Kwani mleta hoja ameuliza wao ni kabila gani? Be smart great thinker.

gud nimekupa mkuu ni vyema kumuelewesha mtu kuwa hapa umekosea lakini siyo mjepu kumind pasipokumueleza mtu wapi amekosea na sikuleta habari za ukabila nikiwa na lengo baya nimeuliza tu kwa sababu ya jina la mtatiro cz wanayatumia sana na wakurya, samhani sana kwa mimi kukosea
 
Back
Top Bottom