Ni John Heche Suguta pekee, anafuatia Mtatiro na Nape hayupo kabisa kwenye orodha
Ahsante kwa ushauri mzuri,Ingependeza zaidi kama ungewapambanisha kwa majukumu na nafasi zao ndani ya vyama vyao yaani JOHN HECHE (BAVICHA) Vs BENO MALISA (UVCCM) Vs sijui CUF nani. Hata hivyo kwa mujibu wa swali lako mie nampa kura yangu Mh. Diwani.
Jf haiish vituko? Nape anatafuta nini kwenye hyo orodha? Kwani koti la Mpendazoe ameshalivua?
Ahsante kwa ushauri mzuri,
Huyo diwani ni nani? Heche si hakugombea nafasi hiyo mwaka jana?
Ya kugombea au kutogombea mwaka jana siyajui. Ila ndiye aliyerithi kiti cha Udiwani Tarime Mjini baada ya kifo cha Mh. Chacha Wangwe. Natumaini, kama ilivyo kwa urais, uprofesa, ujenerali, n.k. cheo cha Diwani kipo pale pale hata baada ya Mh. kustaafu.
ah ah aah haya sasa mtatiro na heche wote si wakurya hawa?
Usiwe na tabia ya kuongea jambo usilolijuwa, unadhani wanaotoka mkoa wa mara wote ni wakurya?
Usiwe na tabia ya kuongea jambo usilolijuwa, unadhani wanaotoka mkoa wa mara wote ni wakurya?
Idiot.Wote wakurya tu, sasa unaamua nini? Puta tuone