Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 898
Mtetezi wa mafisadi leo unasema uko tired? ajabu.
We are tired of these political elites ambao ni mzao wa Nyerere.
John Mnyika
Wapo akina Zitto ingawa wao wanayapeleka mambo kishule na kidiplomasia zaidi. Malema ni aina ya Mtikila tulietaka kuwa naye na sera zake za "walalahoi", "ma*********", na mambo yenye mvuto masikioni kama hayo.Jana nilikuwa namsikiliza channel E huyu jamaa namkubali sana ni aina ya vijana tunaowakosa Tanzania.
John Mnyika
Mkuu wangu SR,
Huyu dogo kwa bahati mbaya sana, ni mmoja wa new elites kule South Africa. Anatake advantage ya walalahoi kujipatia cheap popularity na kuendeleza racially charged rhetoric, while at the same time anaishi maisha ya kifalme.
Binafsi naomba niseme sitaki wala sitamani kiongozi wa aina ya Julius Malema aje Tanzania. Kwanza anarecord ya kuvunja kanuni katika kufikia malengo yake ya kisiasa, reffer vurugu alizoorchestrate wakatinwa kumpindua Mbeki na kumuingiza Zuma kuwa Chairman wa ANC.
Malipo yake yamekua ni ukwasi wa kutisha, ana mali nyingi kuliko mapato yake halali. Anatumia economic hardships za weusi kujiwekea mazingira ya kubaki kuwa relevant. I would rather have a Nyerere reborn, than a Julius Malema. Nyerere alikua mtu asiyependa makuu na aliishi kwa mfano, yani alifanana na watu wake.
Huyu Malema akijapewa urais nafkiri atakua the next Robert Mugabe, yeye anaagiza Mercedes Benz Maybach na shopping za Harrods, wakati wananchi wake wanapanga foleni ya unga. Lakini anajua aseme nini ili awape hope na kublame all others except himself.
For another perspective ya Julius Malema, soma hii link
Julius Malema For Finance Minister - *MSN ZA News
Malema has crafted his campaign for "economic freedom in our lifetime" as a struggle similar to that waged by Nelson Mandela and his comrades to radicalise an ANC that would not take up the armed struggle in the 1950s even as apartheid became increasingly entrenched and bitter. In the squatter camp on Saturday, he cast himself as a martyr: "If we have come to the end, let it be so. If you are angry with Julius, don't destroy the ANC Youth League. It doesn't belong to Julius … but because you do not come from the youth league, because you know nothing about the politics of the ANC, you want to destroy the work of Nelson Mandela."
He then cut a cake delivered in a Porsche by a celebrity known for eating sushi off naked women. The crowd loved it.
This is part of the contradiction of Malema. Even as he is vilified by the press for his association with crass celebrities and the flaunting of his incredible wealth with inexplicable origins,ordinary people say "what's wrong with Juju making money". In him, many see themselves. In him, many see a man who takes on an untransformed South Africa and champions their cause.
Tatizo ni kuwa hawa wazee wa miaka 60 walipoingia madarakani enzi zao ndio walikuwa vijana wenyewe wenye maneno motomoto. Ndio walikuwa kina Mulema wenyewe. Tukitaka kurudia makosa tuanze kuangalie umri kama kigezo cha msingi. Miaka hamsini baadaye kizazi kingine kitatushangaa na wao wataanza kulilia vijana tena. UONGOZI NI UWEZO SIYO UMRI.