Julius Malema anataka ukahaba uhalalishwe

Tatizo sio kukubali kwamba watu wasilindwe na sheria ila Ukahaba serious!? Yaani wao wanadai kwamba hata mke wako akitaka kuwa kahaba auxe utelezi wewe kama mume wake hauna ruhusa ya kuzuia asiwe kahaba! Kwamba iwe ni haki yake! SA imekuwa nchi ya ajabu sana, kwamba katika vitu vyote vya kuzungumzia na kufanyia kazi basi uuzaji na ununuzi wa utelezi imekuwa haki za binadamu
 
Wanawake wenyewe ndio wameingia mkenge bila kujua 😔 kila kitu ambacho kinazungumzwa na viongozi kwa mgongo wa haki za wanawake basi wao wanapiga makofi na kuunga mkono
 
Je utafurahi kuona watoto,mke/mume wako wakifanya kazi hiyo?
Hilo jambo limekuja kati ya vitu viwili ukosefu wa Elimu ya Dini au Sekula na ajila na hizo ndiyo changamoto za kifamilia na Taifa kwa ujumla.
Hata kama haufurahii utafanyaje?? Utataka akafungwe jela??
Mbona kuna watu wengi hawali na hawapendi kitimoto au kunywa pombe ila watoto wao wanakula kitimoto na kunywa pombe
 
Utamzuiaje mke wako asiwe kahaba akiamua kuwa kahaba?
 
SA iko tofauti na nchi nyingine za kiafrika, Malema lugha yake ni kuhalalisha kila jambo ambalo linafanana na umagharibi. Msimamo wake kwenye ishu za ushoga ni kama hizi kuhusu ukahaba.
 
Lugha ya mwanasiasa mbele ya mwananchi ni kumfanya ajisikie anaonewa na kunyimwa haki zake hata katika mambo ya hovyo.

Na ikifika anaongea na wanawake anacheza na hisia zao zaidi kuliko uhalisia. Utasikia haki za kutoa mimba, talaka, na ukahaba kama Malema anavyosema.
 
Hao wadada hapo juu hiyo miguu tu inatisha hizo sehemu za Siri sijui zitakuwa katika Hali Gani?
 
Utamzuiaje mke wako asiwe kahaba akiamua kuwa kahaba?
Sasa anataka iwe kisheria! Ukimuona mke wako anakazwa na msela unatakiwa kuheshimu maana ni personal space ya mke wako!
 
Yaani Mke wako wa ndoa wanadai umpatie nafasi yake ya kufanya ukahaba pasipo kuingilia uhuru wake
 
Kipochi Kila mwanamke anacho ila sio Kila mwenye kipochi anavutia.

Kwahiyo ww kinachokuvutia Kwa Mwanamke kabla hujamtongoza ni kipochi chake?
Kama kuna giza je au aamevaa juba?
 
Ndio, mimi mweupe...ni Mkihabeshi na tuna Uarabu pia, lakini shangazi yangu ameolewa na Msukuma...ni Mweusi huyo acha tu
Ndio unasema weusi ni wabaya?kisa wewe ndi mwarabu nani kakudanganya kuwa nyie ni wazuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…