Julius Malema anataka ukahaba uhalalishwe

Julius Malema anataka ukahaba uhalalishwe

Lakini watu weusi ni wabayaaa , wachafuu hata hawavutii, halafu wakijiuza ndio wanakuwa wabaya zaidi halafu wana mabakamabaka kama nyoka
Sio wote wana mabaka ila mabaka ni ngozi tu kupoteza nuru ila wakijipiga creams za kuipa ngozi nuru na kutakatisha ngozi ndani ya mwezi mmoja ukikutana nae sio yule uliemuona mwanzo

Dr. Ambivert88
-Kwa sasa Russia
 
Sema South wamezidi
SA ni nchi yenye uchumi mkubwa na miji mikubwa hivyo ni rahisi sana hiyo biashara kuonekana ni kubwa , wapo watu wa mataifa mbalimbali pale wanauza utamu.
 
Huyu awe rais kabisa
20250728_081156.jpg
 
Hizi haki za kisasa zinakoelekea watadai wanaume nao wabebe Ujauzito, na wanyama wasiliwe kwa sababu hatuangalii Muumbaji kasema nini Tumepewa akili kwaajili ya Kuchunga mipaka ya Mungu.

Huko kwao kuna ruhusa ya Mwanamke kuolewa na zaidi ya Mwanaume mmoja hivi ujauzito utakaopatikana hapo ni wanani, mbona ☀️ halijawahi kwenda kinyume, kwasababu sisi tumepewa uchaguzi ndiyo tukufuru embu turudini kwa Mungu jamani .
 
Kiongozi wa EFF Julius Malema ameitaka serikali kuharamisha ukahaba. Akizungumza na wafuasi wa chama katika maandamano ya Siku ya Wanawake huko Mpumalanga, Malema alisema wafanyabiashara ya ngono wanastahili kupata ulinzi na vyombo vya sheria, ikiwa ni pamoja na kuwa na uwezo wa kufungua kesi dhidi ya wabakaji au aina nyingine za unyanyasaji bila kudharauliwa na polisi.
View attachment 3443468
"Serikali lazima ihalalishe ukahaba. Ukahaba ni taaluma kongwe zaidi duniani. Unaweza kuwa Mkristo ama dini nyingine; upende usipende, ukahaba ni kazi na kuna watu wanaofanya kazi humo. Jamii inajengwa na makahaba ndani yake na lazma tukubali kuwaunga mkono."
View attachment 3443469
"Waheshimuni watu hawa na familia zao, wao pia lazima wawe na ulinzi na haki kama wafanyakazi wengine, mwili wake ni haki yake na anapaswa kulindwa dhidi ya unyanyasaji, anaweza kuwa na mume na watoto, kazi yake ndio inampatia kipato na maisha" alisema.
View attachment 3443467
Kumekuwa na mjadala unaoendelea kuhusu kuhalalisha ukahaba ili kuimarisha afya na usalama kwa wafanyabiashara ya ngono na kulinda haki zao. Mnamo 2022, baraza la mawaziri liliidhinisha kuchapishwa Mswada wa Marekebisho wa Sheria ya Jinai (Makosa ya Kujamiiana na Mambo Yanayohusiana) kuhusu kuharamisha kazi ya ngono kwa maoni ya umma.
View attachment 3443470
Malema alisema wanawake wote wanapaswa kulindwa dhidi ya kuwa wahanga wa unyanyasaji. Hivyo biashara hii iwe sehemu ya watu kujipatia kipato.

JE HOME BOY AMEZINGUA AU YUPO SAHIHI KATIKA HILI SUALA?
Huo ni udhalilishaji wa wanawake na hayo yanatokana na ukosefu wa ajira wasikwepe hiyo changamoto wafanye utafiti wa kuwaajili wasiokuwa na Elimu maana nao ni wananchi na wanamahitaji yakifamiliya

Mbona kwenye kilimo imewezekana kutumia mabaki ya mazao kuzalisha Umeme, Mbolea n.k, inashindikana vipi kwa Binaadam aliyebaki kwenye mchujo wa kukosa Elimu namaanisha kwenye changamoto kuna Mafanikio makubwa yaliyojificha🙏🏽🙏🏽🙏🏽.
 
Back
Top Bottom