Sio wote wana mabaka ila mabaka ni ngozi tu kupoteza nuru ila wakijipiga creams za kuipa ngozi nuru na kutakatisha ngozi ndani ya mwezi mmoja ukikutana nae sio yule uliemuona mwanzoLakini watu weusi ni wabayaaa , wachafuu hata hawavutii, halafu wakijiuza ndio wanakuwa wabaya zaidi halafu wana mabakamabaka kama nyoka
Ameteleza tu mkuu msameheWatu weusi ni wabaya ?
Beauty lies in the eyes of the beholder.Lakini watu weusi ni wabayaaa , wachafuu hata hawavutii, halafu wakijiuza ndio wanakuwa wabaya zaidi halafu wana mabakamabaka kama nyoka
Taifa gani duniani hakuna biashara ya ukahabaSouth Africa ni nchi ya kishetani
Sema South wamezidiTaifa gani duniani hakuna biashara ya ukahaba
SA ni nchi yenye uchumi mkubwa na miji mikubwa hivyo ni rahisi sana hiyo biashara kuonekana ni kubwa , wapo watu wa mataifa mbalimbali pale wanauza utamu.Sema South wamezidi
Kwa hiyo hapo ulipo ni bikra?Mimi bado MWENYEZI MUNGU hajajalia bado na isitoshe kwa sasa bado natumika kwanza mbele ya MFALME WA WAFALME
AmenNataman sana vijana wote ulimwenguni wawe kwenye ndoa
Naendelea kuwaombea vijana wote ulimwenguni
BWANA awabariki sana
Mi hata siwapendiWatu weusi ni wabaya ?
Wewe ni mweupe?Mi hata siwapendi
Huo ni udhalilishaji wa wanawake na hayo yanatokana na ukosefu wa ajira wasikwepe hiyo changamoto wafanye utafiti wa kuwaajili wasiokuwa na Elimu maana nao ni wananchi na wanamahitaji yakifamiliyaKiongozi wa EFF Julius Malema ameitaka serikali kuharamisha ukahaba. Akizungumza na wafuasi wa chama katika maandamano ya Siku ya Wanawake huko Mpumalanga, Malema alisema wafanyabiashara ya ngono wanastahili kupata ulinzi na vyombo vya sheria, ikiwa ni pamoja na kuwa na uwezo wa kufungua kesi dhidi ya wabakaji au aina nyingine za unyanyasaji bila kudharauliwa na polisi.
View attachment 3443468
"Serikali lazima ihalalishe ukahaba. Ukahaba ni taaluma kongwe zaidi duniani. Unaweza kuwa Mkristo ama dini nyingine; upende usipende, ukahaba ni kazi na kuna watu wanaofanya kazi humo. Jamii inajengwa na makahaba ndani yake na lazma tukubali kuwaunga mkono."
View attachment 3443469
"Waheshimuni watu hawa na familia zao, wao pia lazima wawe na ulinzi na haki kama wafanyakazi wengine, mwili wake ni haki yake na anapaswa kulindwa dhidi ya unyanyasaji, anaweza kuwa na mume na watoto, kazi yake ndio inampatia kipato na maisha" alisema.
View attachment 3443467
Kumekuwa na mjadala unaoendelea kuhusu kuhalalisha ukahaba ili kuimarisha afya na usalama kwa wafanyabiashara ya ngono na kulinda haki zao. Mnamo 2022, baraza la mawaziri liliidhinisha kuchapishwa Mswada wa Marekebisho wa Sheria ya Jinai (Makosa ya Kujamiiana na Mambo Yanayohusiana) kuhusu kuharamisha kazi ya ngono kwa maoni ya umma.
View attachment 3443470
Malema alisema wanawake wote wanapaswa kulindwa dhidi ya kuwa wahanga wa unyanyasaji. Hivyo biashara hii iwe sehemu ya watu kujipatia kipato.
JE HOME BOY AMEZINGUA AU YUPO SAHIHI KATIKA HILI SUALA?
Kama hakuhitaji siasa kwa nini ukahaba na ushoga ufanywe kosa la jinai??Amezingua kurombana hakuhtaji siasa tuendelee kula kimya kimya nyama
Hata watu wa kwenye ndoa huchepuka na makahaba pia.Nataman sana vijana wote ulimwenguni wawe kwenye ndoa
Naendelea kuwaombea vijana wote ulimwenguni
BWANA awabariki sana
Je utafurahi kuona watoto,mke/mume wako wakifanya kazi hiyo?Huyu awe rais kabisa View attachment 3443694