Julius Malema akata rufaa

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Kiongozi wa vijana wa ANC bwana Julius Malema,amekata rufaa ili kupinga adhabu ya yeye kufukuzwa ndani ya ANC,wakili wa Malema anadai kuwa mteja wake hakupewa nafas ya kujitetea,
Malema ambae ni mshirika wa Zuma,kwa siku za karibuni amekua akimshutumu rais Zuma kuwa amewatelekeza Wa'afrika Kusini ambao ndo wengi nchini humo na ndo waliompa KURA MWAKA 2009.
Malema alivuliwa uwanachama mwaka jana.
Sosi:bbcswahili
 
Back
Top Bottom