Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 97
- Thread starter
-
- #21
kwanini umeileta Jf kama hutaki kuweka mambo sawa? si ungekaa nayo moyoni au ungewatumia nduguzo......JF we dare to talk openly hio usiifanye bonge la ishu saaana hata docs za usalama zinawekwa JF sembuse hio......acha bana
kama ni issue siriaz, mwaga anuani hapa na complete info kisha acha wabongo wahangaike nayo kivyao[/B]. haya masuala ya kutafuniana mapaka chakula kinakuwa rojo ni ya kizamani.
nakupa hongera kwa kusaka opportunity ila nakushauri be open kuidistribute kwa wadau.
alafu unataka uongozi wa juu taifani....wewe umeshindwa nini ku copy na ku paste...anyway naisubiri ya inv ila isiwe na mtu sijui tumuandikie then atu connect na hao Edinburgian....Apparently it seems like kuna watu are having hard time to believe ok this is what i will do nimemwandikia issue nzima Invisible yeye ataweka habari kamili hapo.....then mwenye nia atajimwaga manyanga kumbuka lazima uwe na MA sociology ama Politiko studies kutoka kwenye reputable university....
alafu unataka uongozi wa juu taifani....wewe umeshindwa nini ku copy na ku paste...anyway naisubiri ya inv ila isiwe na mtu sijui tumuandikie then atu connect na hao Edinburgian....
wala sijasema nataka uongozi wa juu taifani...you are putting words into my mouth!....
....unajua kuna wakati wa utani na kuna wakati wa kuwa serious and i am very serious in this matter (with ndita and my glasses on)
This is very serious and its really not a joke pleaseeee! (highly important!!)
Kuna maprofesor kutoka University of Endiburgh nimekutana nao jana wanatafutaa Mtanzania anayeweza kuandika Bibliography ya Mwalimu Nyerere in 3yrs time, his leadership na legacy yake kwa ujumla...............
Nnzafula aka Kelly01
Shem aachana na Yo Yo wakati mwingine anautapia mlo kwenye kufikiri....yeye haangalii maslahi ya taifa..
well well natamani kukuona ili nihesabu hiyo mistari ya ndita... (kama hiyo ndo picha yako kweli)
Nadhani Msanii anashauri utoe hapa JF source ya hiyo 'fursa' uliyotudokeza k.m. website, University's call for Nyerere's Bibliography, newspaper advert n.k. ili wasomaji wote waone wenyewe. Kwa baadhi yetu, hilo sharti la kukuletea "wewe" email na ku-discuss inaleta dhana kama vile ni "mradi" wako au ni mada ya siri (mimi siamini if that's yr hidden agenda). Kwa vile umekuwa jasiri na mwenye nia safi ni vizuri zaidi ukitupatia hizo details uwanjani hapa JF kama tulivyozoea (lakini sikulazimishi).
Wenye sifa zingine na wana uwezo huo hawana nafasi?uwe na MA on sociology ama Politico studies kutoka kwenye reputable university....
Niombe radhi........hujasaini mkataba wa amani?Shem aachana na Yo Yo wakati mwingine anautapia mlo kwenye kufikiri....yeye haangalii maslahi ya taifa..
...Yes ni Picha yangu ya kweli!...
Kelly,
On a serious note maana sijawahi kuleta utani kwenye serious issues, kuna watu wako very much interested to jump onto this opportunity which personally I take as an honour given the importance of the subject of the study.
One clarification though...wanataka mtu aandike:
1[B]."Biography" [/B]which is an account of a person's life written, composed, or produced by another
au kama ulivyosema wewe
2. "Bibliography" which is the description of books:
(i) a systematic list of writings by a given author or on a given subject;
(ii) the study of books as material objects, involving technical analysis of paper, printing methods, bindings, page numbering, and publishing history.
Naomba huo ufafanuzi kabla ya kuamua kujitosa.
Niombe radhi........hujasaini mkataba wa amani?
Samihani Yo Yo niko nyuma yako!
aisee hapana hapana sikubali kiumbe asogelee uku nyuma....kwanza nakuogopa sana mzee wa kulonga na tIGO hamchelewi kubeep....Samihani Yo Yo niko nyuma yako!
aisee hapana hapana sikubali kiumbe asogelee uku nyuma....kwanza nakuogopa sana mzee wa kulonga na tIGO hamchelewi kubeep....
My my, kama hujaolewa basi mumeo anafaidi kweli kweli.
niruhusu picha yako nikaiweke bafuni kwangu japo one week.
....Thanx kwa kunielewa kuhusu Biography ya Nyerere and i believe robot ataweka data hapa maana unajua kila mtu hapa siyo kila mtu.
Mzee ungetumia muda kidogo kufikiri ungeona Kelly01 ameweka wazi amekutana na hawa jamaa kwenye informal gathering, kwa kujua ni Mtz basi wakampa hiyo issue...sasa ugumu wa kuelelewa na wepesi wa kusahau ndo unakusumbua hapa....