Julius Ceaser was a black african, new study finds


As mentioned above, nobody denies that we have enough blacks to inspire us but you seem to have a stagnant mindset, what is wrong in gaining more information?You seem to throw tantrums when africans discuss african issues. If you don't see the point of discussing ceaser why are you in this forum?Why are you trying to stop us?

Ofcourse we should study black inspirational figures, not only within our own small community but globally.
 

It is you sir who is not proud of yourself, discussing african achievements is a sign of pride.Why are you angry, do you hate your african self?
 

This appears to be as outlandish as the claim that Jesus of Nazareth was a Black Man. Nobody should buy into this.
 
It is you sir who is not proud of yourself, discussing african achievements is a sign of pride.Why are you angry, do you hate your african self?

Haha so now we are proud of the achievements of black Caesar or? Or is being proud about this news equal to me being proud of who I am? Or is me not being excited about this news make me a not proud African? If you haven't caught my drift I was proud before I heard this news and I would have been proud whether I so this news or not. It is you sir who seems proud for the first time after your discovery of Caesar.
 

Who is throwing a tantrum and who has stopped you from discussing this? What other African issues have I thrown tantrums over? Is Caesar even an African issue? Did I suggest anywhere that this thread should be stopped? And yes we do have known black inspirational figures global, people like Martin Luther King, Jr.etc. People whose blackness is a matter of fact.
 
Kwa sababu Kaisar alikuwa kiongozi wa dola ya Rumi, hata dola ya mirambo kalagosi asingeweza tokea musoma kuja kuchukua na kuendesha dola ya walugaluga hiyo ni what we call DE-FACTO
Hayo ni mawazo yako, na huja-present kitu cha kujadili.
 
watu weusi ni watu wa ajabu sana; hasa sisi wa kizazi hiki cha leo! we can't tell anything about ourselves tukakiappeciate. Tunataka validation from outside ourselves.. kama huyo mwandishi angekuwa mtu wa UDSM wala tusingechangamkia hivi! Leo hii tunaambiwa Nyerere ni Dikteta tunakubali, tunaambiwa ujamaa ulishindwa tunakubali, tunaambia hatuwezi kuendelea bila wawekezaji tunakubali, hatuwezi hatuwezi hatuwezi..

Akitokea mweusi mwenzetu toka Maneromango na kutuambia tunaweza tunamshangaa.. how dare her!
 

sisi watu wa maajabu
Kupenda sifa zisizo na misingi, miguu ama kichwa sisi tumebaki eti kujaribu kuficha failure zetu kwa kulazimisha historia.

Mnasema Kaisar eti ilikuwa mpingo teh teh wazungu wamebadirisha historia, kwanini hawajabadirisha kwa mfalme CHAKA ?
 
Hayo ni mawazo yako, na huja-present kitu cha kujadili.

KWahiyo kwa mawazo yako ile ngoma ilikuwa Nyeusi, kwanza ilisafiri je kutoka ethiopia hadi huko bila kuliwa na simba ama kutekwa na falme zingine hapo katikati
 
KWahiyo kwa mawazo yako ile ngoma ilikuwa Nyeusi, kwanza ilisafiri je kutoka ethiopia hadi huko bila kuliwa na simba ama kutekwa na falme zingine hapo katikati

Unajua mkuu unanifurahisha sana. Unasema Ceasar hakuwa black, nimekuuliza unao uthibitisho wowote unajasema ooh huyu ni mweusi hawezi kuongoza warumi. If this is uthibitisho to you naona hatuezi kuelawana humu, wee endelea kuamini vile unavyoona maana huusaidii mjadala huu.
 
Hili jambo si WAZI kama mnavyoamini hasa watu kama MkamaP. Inabidi uende mbali kuangalia kwa nini Spain wanamshangilia sana dereva wao wa forumula 1. Kwa nini wanamchora Yesu mweupee na macho ya bluu, kwa nini Wamarekani wanajivunia ...... na utawakuta wakimshangilia "USA, USA ......" Kwanini Wageruman wanajisifia na magari yao mazuri. Kwa nini Wajapan wanatambia product zao na kujiona ndiyo wenye akili sana duniani. Mifano ipo mingi sana na inabidi mtu uende ndani sana ndiyo utaiona.

Pana siku nilisikia Mfaransa na Muitaliano wakibishana. Mfaransa akidai dada mmoja mwimbaji maarufu sana Ulaya ni wa kwao. Muitaliano akadai kuwa "ohhh, huyo ni wetu ila amehamia tu Ufaransa". Muingereza akadai kuwa hata aimbe vipi, hawezi kumshinda nyota yao maarufu "SEAN PAUL". Nilitaka kucheka kusikia "SEAN PAUL" ni Muingereza.

Ukiangalia kwenye The third Reich utagundua kuwa Wageruman walitumia sana Propaganda ya kuwaaminisha watu kuwa wao ndiyo taifa teule. Ndiyo maana Hitler alipoona Owen anashinda kama hana akili nzuri, alikimbia uwanja wa Olympic na hakutaka hata kumpa mkono. Na ili kuonyesha kuwa wao kwenye michezo wako juu sana, walimkodi Boxer mmoja aitwaye Jack Johnson aka "Galveston Giant" .

Huyu jamaa alikuwa na sifa kama tatu ukiacha kubonda watu, ukubwa na dharau. Alikuwa na yale matusi ya Mohammed Ali kuwa "mama yako anapiga zaidi kuliko wewe.... anakuudhi na ukichukia anakubonda". Alikuwa anapenda kuendesha kwa speed kubwa na kuheshimu sana sheria za USA na hii alithibitisha kwa kuowa Mzungu. Ilibidi akimbie nje ya USA ambako ilipofika mpambano wa ngumi kati ya Joe Louis vs. Max Schmeling (soma hapa: Joe Louis vs. Max Schmeling - Wikipedia, the free encyclopedia ) basi jamaa aliletwa ili asaidie Max ashinde. Johnson akagundua kuwa wakati Louis akitaka kupiga ngumi, basi anashusha mkono wa kushoto. Walikula zoezi jinsi ya kumpiga ngumi kipindi hicho. Siku ya pambano, Kaka yetu alipondwa na akawa hawezi kabisa kufurukuta. Ila waliporudiana, Joe Louis akawa kashajirekebisha, na Max alipondwa sijui raundi ya kwanza tu.
Kwenye pambano la kwanza, Wageruman walishangilia si kawaida na wakawa wakitumia propaganda kuwa wao ni taifa kubwa. Ila siku ya marudiano, USA ilikuwa kimyaaaa. Watu wengi hata wasiopenda weusi, wakakaa kuombea Joe ashinde. Aliposhinda, wote walitoka nje na kuanza kushangilia USA, USA, USA.........


Hizi propaganda zinatumika sana. Kwa Waafrica wengi wanaamini kuwa SISI HATUWEZI kitu. Kila kitu ni Wazungu tu na sisi tumebaki kupinga ngoma. Kama propaganda hizi zitaanza kutumika kuwaonyesha Waafrika kuwa wao pia wamo na wanaweza kufanya maajabu wakitaka, basi imani hiyo potofu inaweza kuisha. Kuna ka mwanga kwa baadhi ya makabila Tanzania kama Wahaya na Wachaga. Wengine ndiyo hao akina Hashimu, Ngereja na Wasukuma/Wanyamwezi wengine ambao kama kawaida akipata basi maneno na dharau kibao "Unanijua mimi ni nani?" Ka ushamba ka kusema "kwa nini na mimi nisiwe tajiri mkubwa wa Africa hakuna. Unaanza KUTESA na KUTANUA hadi vinaisha...........

Acheni watu waaminishwe kuwa "TULIWEZA, TUNAWEZA na TUTAWEZA".
 

Sikonge
Inabidi ujisifie kilicho chako, nasio kung'ang'aniza vya watu ujisifie navyo. Hao uliowataja yawezekana walikua wanataniana pia. Mwingereza kujisifia na Newton wao ni sahihi kabisa, mfarasa kujisifia na Lagalage na akina fourier ni sawa kabisa, waitaliano kujisifia na Galileo pamoja ni Kasar wao ni sawa kabisa .Lakini ni upuuzi waafrika kujisifia na Kasair.

Tunaposhindwa lazima tuseme ama watwambie, sasa mkuu unataka wasituambie kwamba bado hatujaweza kwa sababu sisi ni WEUSI? kwani wao ndo walituchagulia JK kwa 80%, kwani wao wali hamasisha kenya akina Raila na kibaki kuamrisha watu wao kubeba mapanga?

Mie hapa nasema tujisie na vya kwetu kama Mwalimu Nyerere na si kulazimisha historia isiyokuwepo. Ni rahisi kumwambia mtu YESU alikua mweusi kuliko kujaribu kusema Kasar alikua mweusi. Na hata hivyo ni rahisi kukubali kwamba YESU ama Mohhamed hawakuwa weusi kwa sababu kuu moja tu WAAFRIKA tumeletewa habari za watu hawa na kama zingekua na vyenzo vyao hapa afrika tusingeletewa bali tungehenzi.

Waafrika walikuwa na utaalamu sana wa kufikisha ujumbe, kama Kasar angekuwa MWEUSI wangemchora tu mahala fulani kuwakirisha hoja. Leo nenda kule kawekamo mwanza utakuta wamemchora MWANAMARUNDI kwenye mawe na hayafutiki hata miaka rudi miaka nenda.

Nasimamia pale pale KAMA Kaisar angekuwa mtu mweusi BIble ingemtaja tu kwasababu ya uma manority wa race yake, utaona Bible imejitahidi kumtaja Simoni kua alikuwa mtu mweusi, pia imetaja kinagabaga kuwa mfalme wa Ethiopia alikwenda kuhiji huko Yerusalemu. fikiria huyu mwaafrika ametajwa mara moja tu ktk bible na akatajwa anatoka ethiopia, ije kuwa Kaisar aliyetajwa mara kadhaa bila kutaja race yake.

Hii ngoma bwana ilikuwa ni Muitaliano, tuache kujipa sifa zisizo na misingi
 

Kwa hiyo any account ambayo haikuwekwa kwenye Bible is FALSE kwa mujibu wako? Si ndio? with this thinking nadhani ndipo lilipo tatizo lako. Jiangalie. Huyo Dr muitaliano aliyeanzisha hili ni wazi ameaccount viashiria fulani kuhusu findings zake japo hazijawekwa wazi kwene hii habari tunayoisoma hapa. Ungefanya la maana ukisogeza mjadala mbele kwa kuweka concrete evidence kuelezea hoja yako badala ya maoni.

NB: maoni sio facts.
 
Zaidi ya hiyo habari iliyoandikwa na Derek Clontz (exactly the same article), inaonekana HAKUNA rekodi aka ushahidi kuwa kitabu kinachodaiwa kuandikwa na "Mario Bonafini" kweli kipo kwani Amazon.com, Barnes & Noble, Google Books, hata Google.it etc hakipatikani).

Bila ushahidi wa kuwapo kitabu chenyewe (mfano peer-review au citation yoyote), habari hii inabakia kuwa tungo au maoni ya Derek Clontz. Tukumbuke kitabu kinadaiwa kuandikwa kati ya 2007 na 2008, na given the very controversial nature of its subject matter, its fair to say Google would have turned up tons of hits by now.
 

Usichukulie biblia kama kitabu cha historia.Biblia ni maoni tu la kabila la wajews yako mambo kwenye biblia ambayo ni kweli lakini mengi ni hadithi za wahayahudi tu.
 
Khee nimeenda kulala na sasa nimeamka mijitu bado inabishana tu kuhusu Juliasi Kaizari.....sijui niseme tu...sijui nisiseme.....aaaaah
 

Kitabu hakijachapishwa bado, tusubili kitoke tuangalie facts na ndipo tutoe definite judgement.Kumbuka kimeandikwa na muitaliano sio muafrika who has a lot to loose.
 

Here is an historian(who is not african) that has suggested that Kaisari may have african origins so this could potentially be an african issue just like obama who is not an african president but is still being discussed in Africa.

The historian has suggested. Let us look at the evidence when the book is out.But this does not stop us discussing this or African history in general and how many facets of African history were stolen like the st Maurice issue which I had discussed previously.I did also mentioned black inspirational figures like, pharaos etc whose achievements in my opinion kaisari will never match.So you are wrong to think that the kaisari issue for me is the most important for african history ,far from it,have you read my previous posts?
 
Kitabu hakijachapishwa bado, tusubili kitoke tuangalie facts na ndipo tutoe definite judgement.Kumbuka kimeandikwa na muitaliano sio muafrika who has a lot to loose.

"I printed the truth, and if the truth hurts, so be it, " Dr. Bonafini told me in a trans-Atlantic telephone interview before death threats drove him into hiding late last month."

Tupe chanzo chako kwamba "kitabu" bado kuchapishwa kwani "Mario Bonafini" mwenyewe, ambaye anadaiwa kuwa ndiyo Mwandishi kanukuliwa akisema "kitabu" kimeshapachishwa.

Jee, una vyanzo vingine vyovyote juu ya "kitabu" hiki zaidi ya Derek Clontz?

Ingesaidia pia ukatupa orodha ya vitabu vingine alivyowahi kuandika huyu "controversial Historian" "Mario Bonafini" (hata vya lugha ya Ki-Italiani).
 

A Non sequitur statement.
Already replied in my previous post.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…