Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,162
- 138,363
Huyu jamaa kiboko ya yanga,
Nakushauri ujisomee vitabu vya kiswahili mara kwa mara ili uboreshe kiswahili chako.Siku zote hizo alikuwa wapi kutoa taarifa sehemu husika kama cheti chake kimepotea amesubili wakati wa kuhakikiwa na kamati ya Uchaguzi ndo aseme cheti kimepotea ha!ha!nawasiwasi na Elimu kama si ya kuhunga unga ni bahati sana.
Nakushauri ujisomee vitabu vya kiswahili mara kwa mara ili uboreshe kiswahili chako.
Kocha Julio akiwa katika harakati za kugombea nafasi ktk chama Simba,amepotelewa na cheti chake cha form four.Hii inampa wakati mgumu mgombea huyu kutokana na vigezo vya kugombea ktk club hiyo.MY TAKE:NO COMMENT
Mmmh......hivi alisoma kweli?
Hujui unachosema Julio mwenyewe 'mtoto'