Julie Speech On Sharia Law, Ukweli Unaouma

Hawapokei tena wakimbizi

Kuna mwenye nchi Australia anaetawala? wote hao ni wahamiaji tu, wenyewe wenye nchi wanakandamizwa na mipombe, wamewekwa kwenye "reserves" utafikiri wanyama, wamebaki kuwa ni kivutio kwa wataliii tu.

Cheza na wazungu wewe? kama mnavyokandamizwa hapa na mipombe mnajisahahu wenzenu wanawatawala kilaini.
 
Usisahau njia zilizotumika katika kuunda mataifa tuliyonayo leo. Kwa mfano utasema kuwa waarab wa Maghreb ie North Africa hawana haki ya kuzuia wakimbizi haramu simply kwa sababu hao waarabu walivamia na kupora hilo eneo? By no means. Kuhusu kunywa pombe dini na tamaduni zao zinaruhusu na wana maendeleo mazuri tu. Mbona hujiulizi ni kwa nini wakimbizi hawakimbilii nchi kama Somalia?
 
Australian PM Julia Gillard should be made Queen of the world. What she has said requires a lot of courage and confidence.
All the countries in the world should have leaders like her.
She says "Muslims, who are demanding Sharia law have been asked to leave Australia by wednesday because Australia sees fanatic muslims as terrorists. Each and every mosque will be searched and muslims will cooperate with us in this process. All the muslims who have migrated from other countries to Australia will have to adapt and change themselves as per our country and not expect us to change as per them.
If they are unable to do so, they are most welcome to leave Australia.
A lot of Australian are worried that we may be insulting a particular religion....but I assure the people of Australia that whatever is being done is for the betterment of Australia and its people.
We speak English here and not Arabic or urdu or any othe islamic language so if you want to stay in our country you better learn to speak English.
In Australia we believe in Jesus who is our God and we believe in God. Just because we believe in and follow Christianity and no other religion, does not make us Communal which is why you will find God's Pictures and religious books everywhere.
If you have any objection to this, you are free to leave Australia and go anywhere else in the world.
Australia is our land, our country and this is our culture.
We do not follow your religion but we respect your sentiments which is why if you want to read koran and offer namaz, please do not create noise pollution by using speakers and reading out loudly. Please DO NOT Read Koran or offer prayers in our schools, offices or public places.
You can do so in the quiet of your home or in a mosque which will not inconvenience us.
If you have any issues with our national flag or national anthem or our religion or our lifestyle, kindly leave Australia at this very moment and never ever return back".
Australian Prime Minister Julia Gillard
 
Mbona hii ya zamani sana tunaomba mpya islamophobia.
 
Kuna mwenye nchi Australia anaetawala? wote hao ni wahamiaji tu, wenyewe wenye nchi wanakandamizwa na mipombe, wamewekwa kwenye "reserves" utafikiri wanyama, wamebaki kuwa ni kivutio kwa wataliii tu.

Cheza na wazungu wewe? kama mnavyokandamizwa hapa na mipombe mnajisahahu wenzenu wanawatawala kilaini.

Kwahiyo CCM inatawala kilaini kwakuwa watu wanakunywa mipombe?
 
Yap hii speech ni muda kidogo tangu itolewe,ina mwaka sasa au zaidi
 
Dah mama nimempenda Sana!!!! Yaani nimeisoma hii speech nimeirudia tena na tena. Huu ndio uongozi thabiti na mfano Wa kuigwa!!! Nchi zote tungekua na viongozi smart na wenye misimamo Kama hawa dunia ingekua mahali salama pakuishi. CC: FaizaFoxy THE BIG SHOW Ishmael Nicholas Ritz Elli MANI Ntuzu
Its about the time ,waislam wanasogea ktk vita ambayo itawawafuta au kuwafanya km walichofanyiwa SPAIN...ni kilio hadi leo kinauma sana roho za waarabu na waislam kwa ujumla.Ulaya wamejua wanachezea sheria na taratibu za nchi wenyeji..wana abuse hadi systema halali za kidemocrasia wakati wakitaka zifaidi,na hawazitambui zinapowawajibisha.Kwa vile hakuna adhabu ya kifo basi wakianza ua,na kuweka gerezani ------ wanakwenda kutumia wanasheria eti hao wauaji wanateswa,wanaitumia km sababu ya kuendelea propaganda ili ku[ata wafuasi wapya...Sasa hivi wazungu wamewaashia sana wajipandishe nyege na mshawasha na kufuata roho ya shetani anayewaita wawahi machinjioni ...wanahamasishana kwenda huko ktk machinjio ili kuua askazi wa nchi zilizowapa hifadhi na huduma za bure..huko ndipo wazungu wanakwenda waua ktk uwanja wa mapambano...na soon kila nchi itakuwa busy na shida zake wachina,warusi na wengine watakuwa wakijichinjia hawa jamaa kimyakimya.
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo CCM inatawala kilaini kwakuwa watu wanakunywa mipombe?

Asiyelijuwa hilo ni mpumbavu:

Faidika na Darsa la FaizaFoxy:

Proverbs 31: 4-7

It is not for kings, O Lemuel, it is not for kings to drink wine, or for rulers to take strong drink, lest they drink and forget what has been decreed and pervert the rights of all the afflicted. Give strong drink to the one who is perishing, and wine to those in bitter distress; let them drink and forget their poverty and remember their misery no more.

Give strong drink to the one who is perishing, and wine to those in bitter distress; let them drink and forget their poverty and remember their misery no more.

Umeona mambo hayo kijana?

Mpe kileo yeye aliye karibu na kupotea; Kampe divai yeye aliye na uchungu nafsini. Anywe akausahau umaskini wake; Asiikumbuke tena taabu yake.

Halafu anakuja kiongozi aliyesomea hayo tena eti ni Dakatari wa Kanoni anawaambia atawahalalishia gongo na nyinyi mnachekelea tu.

Hata Biblia inawafundisha lakini hamuelewi.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Kwahiyo 'mshikaji' hanywi pombe?
 
Usisahau njia zilizotumika katika kuunda mataifa tuliyonayo leo. Kwa mfano utasema kuwa waarab wa Maghreb ie North Africa hawana haki ya kuzuia wakimbizi haramu simply kwa sababu hao waarabu walivamia na kupora hilo eneo? By no means. Kuhusu kunywa pombe dini na tamaduni zao zinaruhusu na wana maendeleo mazuri tu. Mbona hujiulizi ni kwa nini wakimbizi hawakimbilii nchi kama Somalia?

Wewe ndiyo upo mbali kabisa na historia ya Waarabu. Waarabu wavamie kwao? Unanchekesha.

Sasa mzungu Australia kwao? au walikwenda kutupwa ufungwani tu huko?

Dini zao zipi zinazoruhusu kunywa pomba? wapi, nipe nukuu ya vitabu vyao, mimi kwa kuanzia nakupa hii:

1 Wakorintho 6:

8 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
9 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.

Unajuwa maana ya "hawataurithi ufalme wa Mungu"? maana yake hawatokwenda "mbinguni" aka peponi. Sasa hizo dini zao unazosema wewe zimeruhusu, wapi zimeruhusu? nioneshe.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Back
Top Bottom