Julie Speech On Sharia Law, Ukweli Unaouma

Julie Speech On Sharia Law, Ukweli Unaouma

Nauliza hivi kwani hawa ndugu zetu wanataka kuleta utawala Wa sharia?

Wapi?

Ni vizuri ukaelezea swali hili unalielekeza wapi....

Kama ni Australia nafikiri context na content ya ujumbe Wa mama imekujibu.
 
Last edited by a moderator:
Huyo FORMER binti wa mhalifu/mfungwa/Prisoner !! kesha pitwa na wakati...... wala hashtui kitu hata hawezi kutingisha unywele mdogo !! Nani anajali hayo?

Je yeye kaumba ardhi/Dunia hii...?!!!!!!!!! Ntuzu Dreson4 lusungo
@

Ndugu,

Mtu yeyote strong husimamia tamaduni na taratibu zake...

Huwezi toka huko kwako na kuja nipangia maisha kwangu!!! As long as upo kwangu copy life yangu na style of living!!! Ukikuta nakula mbwa usinihoji au kunizuia.... Ukikuta nazungumza kihehe niwache Kama hutaki you are welcome to leave!!!!

Sikulazimishi uje kwàngu but kitendo cha kuja kwangu it means you accept me why complaining??

Just leave!!!!
 
Last edited by a moderator:
Ndugu,

Mtu yeyote strong husimamia tamaduni na taratibu zake...

Huwezi toka huko kwako na kuja nipangia maisha kwangu!!! As long as upo kwangu copy life yangu na style of living!!! Ukikuta nakula mbwa usinihoji au kunizuia.... Ukikuta nazungumza kihehe niwache Kama hutaki you are welcome to leave!!!!

Sikulazimishi uje kwàngu but kitendo cha kuja kwangu it means you accept me why complaining??

Just leave!!!!
Sijui hujanielewa ndugu mpendwa?!!
 
Bila kumsahau na Profesa, dah nadhandhini kuna wakati tunatakiwa kuwa na misimamo mikali kidogo

Huu ni mfano rahisi Sana viongozi wanapaswa iga!!!

Kama ni sheria...kanuni....taratibu na tamaduni mlizojiwekea kuwa strong kusimamia na sio kuona haya!!!

Nyerere alisema "tunahitaji mtuchague kiongozi atakayekemea udini na ukabila bila haya!!!!" Leo watu wanasaka madaraka kwa kupandikiza chuki za dini na ukabila ilhali katiba na sheria haviruhusu!!!

Napenda Wenzetu walivyo smart kwenye kusimamia taratibu zao.
 
Aisee! kuna vichwa box tupu humu!! hawana hata njiti moja yakuzugia. Ivi na mataifa yenye waislamu (mfano mzuri Zenji) wakiamua kueka msimamo kama huo itakuaje??????? Au huo msimamo ukiekwa na wakirosto tu ndio inakua poa?

Cc: Rabboni, lusungo, Ntuzu, Elli na wote wanaoshabikia....
 
Last edited by a moderator:
Ahsante ingawa umenisahau Bibie Julie ni mmoja kati ya viongozi madhubuti kupata kutokea katika karne hii.

Dah mama nimempenda Sana!!!! Yaani nimeisoma hii speech nimeirudia tena na tena. Huu ndio uongozi thabiti na mfano Wa kuigwa!!!


Nchi zote tungekua na viongozi smart na wenye misimamo Kama hawa dunia ingekua mahali salama pakuishi.


CC: FaizaFoxy THE BIG SHOW Ishmael Nicholas Ritz Elli MANI Ntuzu
 
Kama hoax au la, sijali sana BUT this is how it should be. Huwezi kwenda nyumbani kwa mtu na kumpangia masharti. Kaa fuata masharti yake, huwezi ondoka.

Pia hayo maneno yana apply sana nchi za kiarabu. Hivi kuna mtu anaweza kujenga kanisa Saudi Arabia? Wakikuona na biblia tu, ni deportation haraka sana. Watu wanaoenda huko wanaheshimu matakwa ya Wasaudia. Ajabu wao watoke kwao kwenda ku-impose ya kwao kwa wengine. No way!

Bahati mbaya nchi nchi kama Tanzania ni mchanganyiko. Hapa hakuna jinsi zaidi ya kila mmoja kuheshimu imani ya mwingine. mwenye kudhani imani yake ndio bora kuliko ya mwingine ndio ataleta matatizo yasiyo ya lazima. Bahati nzuri kwenye level ya familia watu wanaheshimiana. Ndio maana Mzee Mwinyi aliwahi kusema mtu akila kitimoto, wewe inakuhusu nini?

Kama former PM wa Australia alisema au hakusema, si hoja, ujumbe ni maridhawa.
 
Kilikosa u Prime Minister kwa kura za Waislam, walisema wazi hawampi kura zao, sasa kinalalamika.

Kwi kwi kwi teh teh.

Uislam Australia unakuwa kwa kasi kuliko dini yoyote ile.

Hana ujanja.
 
Aisee! kuna vichwa box tupu humu!! hawana hata njiti moja yakuzugia. Ivi na mataifa yenye waislamu (mfano mzuri Zenji) wakiamua kueka msimamo kama huo itakuaje??????? Au huo msimamo ukiekwa na wakirosto tu ndio inakua poa?

Cc: Rabboni, lusungo, Ntuzu, Elli na wote wanaoshabikia....


Mkuu kuwa makini kidogo!!!

Sishabikii kwakuwa ni ukristo au sishabikii kwakuwa anawaponda waislamu la hasha!!

Tunacho msifia Huyo mama ni kukosa haya au aibu ktk kusimamia tamaduni na taratibu zao ambazo waafrika wengi wanashindwa!!!

Hajakataza uislamu wala kubagua wageni elewa hilo!

Amekazia kuhusu wale wanaotaka badilisha culture yao igeukie kwingine!!!

Yaani wageni wanaokwenda Australia na kuanza demand culture yao itambuliwe Kama dini na lugha!!" Hilo mama kasema hapana!!! Wao waifwate culture ya Australia na sio Australia iwafwate wao...

Umeigusia Zanzibar tena huko ndo kwenyewe je Una habari wazanzibari wako strict Sana kwenye culture yao?? Una habari wazenji huchukia wabara wasiofuata culture yao?? Kama huamini nenda mfungo Wa Ramadhan then kula hadharani uone!!!

Iran...Saudia...UAE etc ni nchi ambazo ukienda unatakiwa ufuate culture zao au hujui??

Lengo letu ni kutaka viomgozi Wa kiafrika waige kusimamia taratibu zao bila haya wala woga.....
 
Last edited by a moderator:
Kilikosa u Prime Minister kwa kura za Waislam, walisema wazi hawampi kura zao, sasa kinalalamika.

Kwi kwi kwi teh teh.

Uislam Australia unakuwa kwa kasi kuliko dini yoyote ile.

Hana ujanja.

Ujumbe umefika!!
 
Wapi?

Ni vizuri ukaelezea swali hili unalielekeza wapi....

Kama ni Australia nafikiri context na content ya ujumbe Wa mama imekujibu.


Ok lusungo.

Nilichotaka kusema ni kwamba dunia kwa sasa imekua na propaganda nyingi na chafu kwa maslahi ya mataifa Fulani au kukamilisha agenda za mataifa Fulani ktk dunia hii!

Australia ni miongoni mwa mataifa makubwa yenye nguvu hapa duniani. Kweli ndani ya kuruani kuna aya zinazozungumzia huu ya sharia. Lkn ukisoma maandiko ktk kitabu cha Daniel 2 na 7 utaona kuna tawala ambazo Mungu ameziorozesha! Na baada ya utawala Wa Rumi ya kisiasa hakutaibuka utawala ingine zaidi ya rumi yenyewe kugawanika na kuzaa mataifa mengi hapo ulaya na mengi yamo ktk umoja Wa ulaya...sasa basi biblia ndio kitabu ninachokiamini Mimi na kilichoyasema lazima yatimie kwasababu Mungu sio kigeugeu. Na kamwe hayawezi kwenda tofauti na neno la Mungu alivyosema!

Km nilivosema apo awali kwamba duniani kuna propaganda nyingi kwa maslahi ya mataifa Fulani....sasa basi ktk hili haya madola makubwa yanajaribu kuaminisha ulimwengu ili wapate uwezo Wa kupitisha mambo yao na kuitawala dunia ikiwezekana! Ndio maana utasikia haya kwamba wanataka kuleta utawala Wa sheria! Sasa utabaki unajiuliza hii utawala itatokea lini wakati biblia inasema hakuna tena utawala ingine itatokea? Kwahiyo unakuta ni uzushi tu ata km wanapata ushahidi kutoka ktk kurani lkn bado Waislamu wanatumika km kisingizio tu lkn hayo madola makubwa ndio mabaya na yana agenda ovu dhidi ya haki na ibada thabiti juu ya Mungu!

Kwahiyo rafiki yangu lusungo haya mambo yanapaswa kuangaliwa kwa kina sn! Nikomee hapa

Asante sn
 
Last edited by a moderator:
Mpwa sijashabikia kitu kibaya ila nimesema huo msimamo ni mzuri, sidhani kwa nchi kama Iran kuna Wakristo wenye uhuru kama wanaodai hao watu huko, yeye amesema nchi yake ni ya Kikristo na angependa ibaki hivyo, hicho tu sijasema wala kuongeza neno baya lolote
Aisee! kuna vichwa box tupu humu!! hawana hata njiti moja yakuzugia. Ivi na mataifa yenye waislamu (mfano mzuri Zenji) wakiamua kueka msimamo kama huo itakuaje??????? Au huo msimamo ukiekwa na wakirosto tu ndio inakua poa?

Cc: Rabboni, lusungo, Ntuzu, Elli na wote wanaoshabikia....
 
Australian PM Julia Gillard should be made Queen of the world. What she has said requires a lot of courage and confidence. All the countries in the world should have leaders like her. She says "Muslims, who are demanding Sharia law have been asked to leave Australia by wednesday because Australia sees fanatic muslims as terrorists. Each and every mosque will be searched and muslims will cooperate with us in this process. All the muslims who have migrated from other countries to Australia will have to adapt and change themselves as per our country and not expect us to change as per them. If they are unable to do so, they are most welcome to leave Australia. A lot of Australian are worried that we may be insulting a particular religion....but I assure the people of Australia that whatever is being done is for the betterment of Australia and its people. We speak English here and not Arabic or urdu or any othe islamic language so if you want to stay in our country you better learn to speak English. In Australia we believe in Jesus who is our God and we believe in God. Just because we believe in and follow Christianity and no other religion, does not make us Communal which is why you will find God's Pictures and religious books everywhere. If you have any objection to this, you are free to leave Australia and go anywhere else in the world.Australia is our land, our country and this is our culture.We do not follow your religion but we respect your sentiments which is why if you want to read koran and offer namaz, please do not create noise pollution by using speakers and reading out loudly. Please DO NOT Read Koran or offer prayers in our schools, offices or public places.You can do so in the quiet of your home or in a mosque which will not inconvenience us. If you have any issues with our national flag or national anthem or our religion or our lifestyle, kindly leave Australia at this very moment and never ever return back".Former Australian Prime Minister Julia Gillard
Mmoja kati ya mahamnazo huyo. Anadhani ukristo wake ataulinda kwa bunduki za serikali mpaka lini?
 
Aisee! kuna vichwa box tupu humu!! hawana hata njiti moja yakuzugia. Ivi na mataifa yenye waislamu (mfano mzuri Zenji) wakiamua kueka msimamo kama huo itakuaje??????? Au huo msimamo ukiekwa na wakirosto tu ndio inakua poa?

Cc: Rabboni, lusungo, Ntuzu, Elli na wote wanaoshabikia....

,mbona znz tayari wana huo msimamo..wee kula hadharani kipindi cha mfungo uone cha moto
 
Last edited by a moderator:
Huu ndio msimamo,na wakitaka kujilipua wanakua neutralized ndani ya wiki intelligence safi, kila mtu akijua boundaries zake hakuna kusumbuana.

Bongo secular state afu tunaanza kusumbuana mahakama ya kadhi, ujinga gani huo, Serikali hairuhusiwi kujihusisha na mambo yoyote ya kidini full stop...

Soma btn the line hadi mwisho. Mimi mwenyewe nilishangaa maana najua kwa sasa Julia sio PM wa Australia.

Vipi kuhusu maoni yake huyo former PM, do they hold water? Points zake zina mashiko?
 
Serikali yetu ikiyagundua haya, mambo yote yataenda smooth!!

Serikali ya CCM haiwezi, wamezoea wanatawala kwa ulaghai, wanatumia ujinga wa baadhi ya Waislamu kupata haki ya utawala, hawajali Madhara yanayoweza kutupata kwa kuruhusu dini kuingizwa kwenye sheria za nchi.
 
Back
Top Bottom