Julie Speech On Sharia Law, Ukweli Unaouma

Julie Speech On Sharia Law, Ukweli Unaouma

Australian PM Julia Gillard should be made Queen of the world. What she has said requires a lot of courage and confidence.
All the countries in the world should have leaders like her.

She says "Muslims, who are demanding Sharia law have been asked to leave Australia by wednesday because Australia sees fanatic muslims as terrorists. Each and every mosque will be searched and muslims will cooperate with us in this process.

All the muslims who have migrated from other countries to Australia will have to adapt and change themselves as per our country and not expect us to change as per them.
If they are unable to do so, they are most welcome to leave Australia.

A lot of Australian are worried that we may be insulting a particular religion....but I assure the people of Australia that whatever is being done is for the betterment of Australia and its people.

We speak English here and not Arabic or urdu or any othe islamic language so if you want to stay in our country you better learn to speak English.

In Australia we believe in Jesus who is our God and we believe in God. Just because we believe in and follow Christianity and no other religion, does not make us Communal which is why you will find God's Pictures and religious books everywhere.

If you have any objection to this, you are free to leave Australia and go anywhere else in the world.

Australia is our land, our country and this is our culture.

We do not follow your religion but we respect your sentiments which is why if you want to read koran and offer namaz, please do not create noise pollution by using speakers and reading out loudly. Please DO NOT Read Koran or offer prayers in our schools, offices or public places.

You can do so in the quiet of your home or in a mosque which will not inconvenience us.

If you have any issues with our national flag or national anthem or our religion or our lifestyle, kindly leave Australia at this very moment and never ever return back".

Former Australian Prime Minister Julia Gillard

Kumbe ni former prime minister!
Anawatia majaribuni wenzake walio madarakani.
Tofauti iko wazi: uchague kukufuru au kushukuru.
Anasema mungu wao ni Yesu, tena picha zake zipo kila mahali ! Ukafiri ni upofu.
 
Mkuu kuwa makini kidogo!!!

Sishabikii kwakuwa ni ukristo au sishabikii kwakuwa anawaponda waislamu la hasha!!

Tunacho msifia Huyo mama ni kukosa haya au aibu ktk kusimamia tamaduni na taratibu zao ambazo waafrika wengi wanashindwa!!!

Hajakataza uislamu wala kubagua wageni elewa hilo!

Amekazia kuhusu wale wanaotaka badilisha culture yao igeukie kwingine!!!

Yaani wageni wanaokwenda Australia na kuanza demand culture yao itambuliwe Kama dini na lugha!!" Hilo mama kasema hapana!!! Wao waifwate culture ya Australia na sio Australia iwafwate wao...

Umeigusia Zanzibar tena huko ndo kwenyewe je Una habari wazanzibari wako strict Sana kwenye culture yao?? Una habari wazenji huchukia wabara wasiofuata culture yao?? Kama huamini nenda mfungo Wa Ramadhan then kula hadharani uone!!!

Iran...Saudia...UAE etc ni nchi ambazo ukienda unatakiwa ufuate culture zao au hujui??

Lengo letu ni kutaka viomgozi Wa kiafrika waige kusimamia taratibu zao bila haya wala woga.....

Khaa!! Hilo swala la kuvunja miskiti vipi? kuabudu kwa siri je? Au hujaliona hilo?

Wewe unasema Zenji ni hivyo hivyo, can you tell me Zenji hakuna makanisa?
Ivi huoni chuki za Wazenji ni za mtu m1 m1 tu? tena zinazingatiwa kama ni illegal hata kwa sheria za huko. Jee ni kiongozi gani uliemsikia akihubiri kama kwa mada hapo?

Umetoa na reference za Iran na Saudia. Jee unataka kuniambia huko hakuna makanisa? Jee wageni wanaabudu kisiri siri?
 
Mpwa sijashabikia kitu kibaya ila nimesema huo msimamo ni mzuri, sidhani kwa nchi kama Iran kuna Wakristo wenye uhuru kama wanaodai hao watu huko, yeye amesema nchi yake ni ya Kikristo na angependa ibaki hivyo, hicho tu sijasema wala kuongeza neno baya lolote

Well, i get you.

Nilistuka kidogo kuona wadau wanasapoti hiyo kitu, coz hayo mambo ya kuvunja nyumba za ibada za wengine, kuamuru watu waabudu kisiri au wahame ni unyama wa hali ya juu sana kiasi kwamba na mataifa mengine yakiweka huo msimamo hii dunia haitakalika.
 
,mbona znz tayari wana huo msimamo..wee kula hadharani kipindi cha mfungo uone cha moto

Tatizo unageneralize, Zanzibar ni Pemba na Unguja. Unguja hakuna mtu amewahi fanyiwa hiyo kitu!!!!! Si mjini wala vijijini. Hiyo kitu ilitokea Pemba tu, tena sehemu moja. ukumbuke Zanzibar inahoteli nyingi sana na hata hujawahi skia hayo majanga. ninachokiona hapa ni kwamba wadau wamekariri. Yule jamaa aliechapya alikuwa anakula kwa kukejeli watu.
 
Kuna watu wanapenda sana vita km nchi haina vita lazima watafute kachokochoko kokote ili vita ionekane ndo huwa mioyo inatulia tuli
 
Kuna watu wanapenda sana vita km nchi haina vita lazima watafute kachokochoko kokote ili vita ionekane ndo huwa mioyo inatulia tuli
Mkuu hujamalizia ...umekuja nusu ya njia !! hebu tupe kamfano " nchi gani au watu gani, au chama gani" ?!!
 
Kilikosa u Prime Minister kwa kura za Waislam, walisema wazi hawampi kura zao, sasa kinalalamika.

Kwi kwi kwi teh teh.

Uislam Australia unakuwa kwa kasi kuliko dini yoyote ile.

Hana ujanja.


Wemama unajua Utaratibu wa kumpata Waziroi Mkuu wa Australia au unajichekesha kama kawaida yenu?

Waziri hjo
 
Si unaona nchi za wenzetu huko mashariki ya kati walikuwa kimya tu vita zilikuwa hamna mfano saudi arabia lakini sasa sikilizia mziki wake watu wanavouana km kuku
Hivi ana tu nimetokea huko...maisha kama kawaida!!

Mkuu !! usidanganyike na media/habari maisha mbona yanaendelea na ukuwaji una kuwa!! Biashara zina changanya, uchumi upo powa, nk nk..!!
 
Hivi ana tu nimetokea huko...maisha kama kawaida!!

Mkuu !! usidanganyike na media/habari maisha mbona yanaendelea na ukuwaji una kuwa!! Biashara zina changanya, uchumi upo powa, nk nk..!!

Kuna majuzi nimeangalia al jazeera mkuu machozi yalinitoka nikamwomba Mungu watoto wadogo wanakufa bila hata kuonja maisha inaweza kuwa kweli lakini mi naomba tuwe tunaombeana ili nchi zote ziwe na amani mkuu
 
Kuna majuzi nimeangalia al jazeera mkuu machozi yalinitoka nikamwomba Mungu watoto wadogo wanakufa bila hata kuonja maisha inaweza kuwa kweli lakini mi naomba tuwe tunaombeana ili nchi zote ziwe na amani mkuu
Hii ni hulka za kibinaadamu tulizo nazo !! hatukuumbwa kama MALAIKA!! huko COLOMBIA, MEXICO mauaji ya wauza unga yemekubuhu, huko NY mauji ya magenge yanashimiri, hapo mpakani KEN/SML visasi, South Sudan Makabila yanauana !!
DRC na RWD/UGD wanazikana wangali hai !! yote hayo ni chuki za wanaAdamu !!
 
Huo ulikuwa ni uzushi mbona waislam wengi wako serikalini leo na mpaka jeshini tena marubani, na hii speech ilitungwa tu ili agaragazwe kwenye uchaguzi na waislam kumchukia 1428590877280.jpg 1428590905498.jpg
 
Kuna majuzi nimeangalia al jazeera mkuu machozi yalinitoka nikamwomba Mungu watoto wadogo wanakufa bila hata kuonja maisha inaweza kuwa kweli lakini mi naomba tuwe tunaombeana ili nchi zote ziwe na amani mkuu

u speaking too much indirect...
 
Aisee! kuna vichwa box tupu humu!! hawana hata njiti moja yakuzugia. Ivi na mataifa yenye waislamu (mfano mzuri Zenji) wakiamua kueka msimamo kama huo itakuaje??????? Au huo msimamo ukiekwa na wakirosto tu ndio inakua poa?

Cc: Rabboni, lusungo, Ntuzu, Elli na wote wanaoshabikia....

Hakuna wakristu wa Zanzibar wanaodai sheria za kikristu
 
Last edited by a moderator:
Kilikosa u Prime Minister kwa kura za Waislam, walisema wazi hawampi kura zao, sasa kinalalamika.

Kwi kwi kwi teh teh.

Uislam Australia unakuwa kwa kasi kuliko dini yoyote ile.

Hana ujanja.

Hawapokei tena wakimbizi
 
Back
Top Bottom