Julai 2017: Nyongeza za mishahara na kupandishwa vyeo - Kilio cha Watumishi wa Umma

Alisema mtalimia meno, mtaishi kama mashetani, mtaisoma no......!

Mnaagzwa kuandamana kila kukicha, eti aongezwe miaka madarakani, ukiona dawa inaingia jua lazma Tupate Tiba watumishi, Mzee ndo kwanza anaandaa doz ya pili, mwakani mtaahdiwa tena kwenye may 01 ili mshangilie!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kunyima nyongeza ya mshahara ambayo ipo kisheria ni ushahid tosha kua sheria za nchi hii hazifuatwi, kwanini sasa mtu mwingine akijaribu kutofuata wanakuja na marungu, au ndo mkuki kwa nguruwe?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo maana wengine wanafikiri tatizo la nchi hii siyo katiba mpya maana kuna mambo ambayo yapo kikatiba kwenye hii hii tuliyo nayo hayatekelezwi.
Sheria zinakuwa na nguvu iwapo vyombo vya kuzisimamia vina nguvu morali na haviingiliwi ila kwa mwendo huu hata tupate katiba nzuri kama mawe aliyoteremshiwa Musa, bado sana
 
Nyuzi kama hizi hazifutwi, ila mtu akitoa hoja ya msingi wanafuta.

JF moderators be fair please, remove this trush
 
Back
Top Bottom