Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 38,018
Kwa vigezo vyako, utawapata wagane, waliotalikiwa, wenye masherti kama yako, wenye watoto, wenye umri above 45 years....etc ectUpo sahihi mkuu. Wenye familia i.e. Mke au partiner wa kudumu siwahitaji(ni moja ya vigezo).Sitakata tamaa na tutakayeendana naamini hatojuta kamwe
Kwa vigezo vyako, utawapata wagane, waliotalikiwa, wenye masherti kama yako, wenye watoto, wenye umri above 45 years....etc ect
Sioni tatizo kabisa hapo
hujajibu maswali yangu, please I need answers of my questions.
Ntakuandikia PM
^^
Da, kila nikija huku kutazama wa kunifaa naambulia peupe, nakosa vigezo.
Haya jamani, wenye neema zenu, kila la kheri
^^
For who?42? Too old!
sure 42 your near to MENOPAUSE and its true kuwa too old
bado three year tukimaliza uchaguzi mkuu itakuwa bado mwaka mmoja
Aise! Acha arudiNina vigezo vyote and im 26
kwa umri huu mbona nati zimeishakaza? kwenye 6x6 lazima utaumia na pumzi ndiyo kabisaaa zitakataSio kweli aise
Nina vigezo vyote and im 26